ANATAFUTWA RAFIKI WA KIKE AWE MATURED

ANATAFUTWA RAFIKI WA KIKE AWE MATURED

Joined
Jul 30, 2019
Posts
69
Reaction score
32
HABARINI za kazi wapenzi .. kuna rafiki yangu anatafuta (matured women )mwanamke mwenye umri wake kidogo( for no string attached) above 34 and 50 asiwe mke wa mtu labda awe single mother tu yeye ni mtaalamu wa real estate by occupation na anakipato kizuri sio kibaya mengine mtaajuana huko mkionana watsaap nichek nikupe namba zake cc jabulani kingkong cc ...jabulanifest@gmail.com
 
real.estate sio dalali huyo kweli???
 
Si amtafute amber rutty tu!
 
Jamaa mbona kama unajizunguka, yaani kwa nini usiweke email yake huyo rafiki yako? halafu umeweka ya kwako halafu akutafute ndo umkutanishe na mhusika😂😂😂😂

Sidhani kama humu ndani kuna watoto watakao shindwa kukuelewa
 
Ndo huyo huyo.real estate ya bongo Ni udalali tu sijawai kuona wakijenga mimi
UDALALI NI TAALUMA NA MTU ANAKAA DARASANI MIKA MITATU ANASOMEA (REAL ESTATE MANAGMENT ) NENDA PALE CHUO CHA ARDHI UTAPATA UFAFANUZI NAANZA KUWA NA MASHAKA NA ELIMU YAKO(ZENU) BAADHI YA WATU MNAMAWZO YA MIAKA 47 ACHA DHARAU UTAJUFA MASIKINI
 
Mambo ya fulloption
HABARINI za kazi wapenzi .. kuna rafiki yangu anatafuta (matured women )mwanamke mwenye umri wake kidogo( for no string attached) above 34 and 50 asiwe mke wa mtu labda awe single mother tu yeye ni mtaalamu wa real estate by occupation na anakipato kizuri sio kibaya mengine mtaajuana huko mkionana watsaap nichek nikupe namba zake cc jabulani kingkong cc ...jabulanifest@gmail.com
 
hahaha huyo dalali kaamua kujiongeza

waswahili Bwana tena masikini utawajua tu ...yaani wao kila kitu wanakigeuza negative hahahaha...nawaonea huruma sana watu kama kina mama rei tenabutakuta hata mshahara wake haufiki laki 9 Lakini anabwata kwamba flani ni hivi au vile ukiangalie yeye maisha yake ni huzuni tupu na kudanga hahahhaha....shenzi tabia
 
UDALALI NI TAALUMA NA MTU ANAKAA DARASANI MIKA MITATU ANASOMEA (REAL ESTATE MANAGMENT ) NENDA PALE CHUO CHA ARDHI UTAPATA UFAFANUZI NAANZA KUWA NA MASHAKA NA ELIMU YAKO(ZENU) BAADHI YA WATU MNAMAWZO YA MIAKA 47 ACHA DHARAU UTAJUFA MASIKINI
Ahahaa natafuta chumba kariakoo bna hebu fanya mchakato wacha kunichamba mie
 
HABARINI za kazi wapenzi .. kuna rafiki yangu anatafuta (matured women )mwanamke mwenye umri wake kidogo( for no string attached) above 34 and 50 asiwe mke wa mtu labda awe single mother tu yeye ni mtaalamu wa real estate by occupation na anakipato kizuri sio kibaya mengine mtaajuana huko mkionana watsaap nichek nikupe namba zake cc jabulani kingkong cc ...jabulanifest@gmail.com
Human trafficking
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom