Ali Nassor Px
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,433
- 4,040
eeeeh si umeusoma lakini na wewe teyal mtotoKwahiyo ukaona upuuzi wenu wakitoto uulete huku
Hii chai kama chai zingine
πππππππChakula hilo
na kama ungepewa kitengo cha u moderator ungebakia uzi wako tu basi πDuh ianzishwe utaratibu wa kugunga Uzi na kula ban ikiwa unaleta upuuzi upuuzi[emoji1787]
acha waje mkuu
nitpost ila simjui sasaMposti mwana.
Ww mposti andika kheri ya kuzaliwa kaka mkubwa basi haitapunguza kitu alafu save namba yake aone ulivyomposti atafurahi sananitpost ila simjui sasa
Katika hali isiyo ya kawaids nimejikuta nina maswali mengi sana ambayo nakosa majibu mpaka dakika hii na kila ninae muadithia anabakia kucheka tu.
leo jioni nikiwa natazama mpila . huku nachezea simu yangu.
mara ikaingia text ya whatsapp kutazama namba ngeni ( Sijazisave). kifungua nitazame nimetumiwa nini na hii namba ngeni.
kufungua nikakuta picha mbili ambazo nimetumiwa kwa mfumo wa document. picha zilikuwa za kijana wa kiume .kwa vile jamaa simjui ikabidi kwanza nimtumie text " Oi niaje chief"
jibu alilonipa " Nipost kesho birthday yangu"
aaaah tatizo sio kukuposy nikamjibu lakini mbona mimi sikujui mkuu .
akanijibu hata mimi sikujui ila nipost tu.ππππ
Sasa hapa waungwana nimebakia na maswali huyu jamaa ni nani ?
na kwanini kanitumia picha ?
alafu mtu akishakupost Birthday yako ndo unapata kitu gani au unaongeza kitu gani ?
obi nikituma screenshot nakukamata nakukata miguu unatak kuleta tahaaruki kwenye jamii nionekan nimepost chai
tunafanya hivyo inshallahWw mposti andika kheri ya kuzaliwa kaka mkubwa basi haitapunguza kitu alafu save namba yake aone ulivyomposti atafurahi sana
Utapata baraka maana utakuwa umemfurahisha kijana mmoja mwenye msongo wa mawazo duniani.
ππππππππnikufundishe, aiku nyingine namba ngeni ikikutext bila kujitambulisha au kwa namna kama hiyo iblue tick message yake alafu usimjibu ifute chatting... akirudia tena m'block