Anasa darini akijaribu kuiba Dukani

Anasa darini akijaribu kuiba Dukani

View attachment 325562 View attachment 325563

Huyu ni mwizi aliyenaswa na "sumaku ya asili" darini.

Hiyo miguu kwenye TV imenasa. Wamevuta Askari wanne haiajaachia.Wakamvutia kwa juu ya bati alikoingilia, akalalamika anadai msinivute kwa juu mnivutie kwa ndani(Yaani kuelekea chini )kwa juu mnavyonivuta kuna kitu dukani nacho kinanivuta nitafia hapa hapa jamani(huku akilia).

Baada ya polisi kushindwa kumchomoa wakamuomba mwenye duka tunaomba ukamtoe,maana kila Polisi wakimvuta na "sumaku ya asili" inavuta,ndo akavutwa na mwenye duka, akafanikiwa kutoka na kuchukuliwa na Polisi

Yaani ile "Law of gravitation" leo ime-fail,miguu ilinasa kwenye TV na mikono darini na huku akining'inia kama panga-boy.

Jamani Wakinga wa Kariakoo,hii Sayansi kwanini msimgawie na Magufuli ili wale wabishi wa kukwapua mali za umma nao wagande??
Ukiona vimeundwa ujue vinaelea
 
asante sana kwa ushirikina wenu a.k.a asante sana kwa ushirikiano wenu.

wakinga jamani fanyeni mpango tuanze kuexport hii teknolojia ituingizie fedha za kigeni.
 
View attachment 325562 View attachment 325563

Huyu ni mwizi aliyenaswa na "sumaku ya asili" darini.

Hiyo miguu kwenye TV imenasa. Wamevuta Askari wanne haiajaachia.Wakamvutia kwa juu ya bati alikoingilia, akalalamika anadai msinivute kwa juu mnivutie kwa ndani(Yaani kuelekea chini )kwa juu mnavyonivuta kuna kitu dukani nacho kinanivuta nitafia hapa hapa jamani(huku akilia).

Baada ya polisi kushindwa kumchomoa wakamuomba mwenye duka tunaomba ukamtoe,maana kila Polisi wakimvuta na "sumaku ya asili" inavuta,ndo akavutwa na mwenye duka, akafanikiwa kutoka na kuchukuliwa na Polisi

Yaani ile "Law of gravitation" leo ime-fail,miguu ilinasa kwenye TV na mikono darini na huku akining'inia kama panga-boy.

Jamani Wakinga wa Kariakoo,hii Sayansi kwanini msimgawie na Magufuli ili wale wabishi wa kukwapua mali za umma nao wagande??
Hahaha kha watu nouma!!
 
hakuna uchawi hapo jamani mtu kanasa kweny hizo nondo ni nyembamba inaonekana kabisaa..kusema wakinga wachawi si vyemaa
 
Huyu mmiliki wa duka ndiye anajua machungu ya kutafuta sasa sio wale wanafiki wa kuchoma moto vibaka ilhali wao wanaiba wake za watu.

Linda mali yako isiibiwe kwa namna yoyote.
 
Alafu DONALD TRUMP anatuona watu weusi hovyo wakati tuko juu kwenye teknolojia kama hii kudadadeki.
 
pm namba nta
Mkuu nitumie hiyo video pm kwako haifungui nikurushie namba
kutumia naanza safari ya kutoka ofisini sasa wewe unataka nikupm nn wakati we ndo unashigida chaaaaaaaaaaaaaaaaaa tuma na jero la mb
 
Huyu Mkinga mwenye duka aajiriwe ka consultanct au Mshauri Elekezi Wizara ya Mambo ya ndani au kule TPA asaidie serikali kukamata wezi hasa wa container na mafisadi. Ni mtu muhimu sana nchi hii 2016.

Huyo ni sample tu wapo vinara hawajaja mjini, muulizeni
 
Back
Top Bottom