Anasa darini akijaribu kuiba Dukani

Anasa darini akijaribu kuiba Dukani

Aache kuiba, next time itakula kwake, raia tuna hasira sana na hawa wanaotuibia
 
Mwenye duka anastaili kuajiriwa bandarin ili awakamate wezi wa makontena
 
Hahaha nimeisoma hii habari nimegundua watu wanapenda sana kutunga vitu anyway tukio.hili limetokea iringa stand kwenye duka la mfanyabbiashara mmoja nanilikwepo eneo latukio kilichombana ni hizo nondo tu hamna kingine na akitolewa kwa ushirikiano wa raia na polisi kwa kuzikata hizo nondo thats. All
Duuu watu washaamini kuwa kuna nguvu za giza hapo bora umewafungua macho mkuu
 
Kesho nitapiga picha eneo latukio watu wafananishe ili waamini ncho kisema
 
Back
Top Bottom