Kwahio kama simu sijamnunulia mimi hapaswi kuniheshimu, we ndio ukue kiakili! Acha utoto. So heshima ni mpaka nikimnunulia demu simu?acha wivu.simu ulimnunulia wewe mpka umpangie cha kupost.grow up n be a man enough
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora tu, wanawake wengine ni nuksi tu. Acha akakue kwanza akijifunza kuwa relationship is for two itakuwa sana tu!
aliwe mara ngapi?ushauri wa kwamba??wanaume wa mikoani mnatia kichefuchefu...kama unashindwa kumwambia achange DP utaweza kumwambia akufurie nguo??utatombewa dogo watch your back
Ndo hivo kiongoziBora tu, wanawake wengine ni nuksi tu. Acha akakue kwanza akijifunza kuwa relationship is for two itakuwa sana tu!
Hakupendi huyo, demu anaekupenda hana guts za kukufanyia hivi!
Hakupendi huyo, demu anaekupenda hana guts za kukufanyia hivi!
Sawa man nashukuru sanaHakupendi huyo, demu anaekupenda hana guts za kukufanyia hivi!
Hakupendi huyo, demu anaekupenda hana guts za kukufanyia hivi!
Bora imekuwa mapema pasi na kupotezeana muda!
Excellent! Ila akikausha hapo dogo hana mtu, atafute tu hukohuko alipoNawewe post ukiwa na mwanamke mwingine,halafu kaa kimya,akikuuliza ndio hapo utakapoanzisha mada na kumueleza nini unataka na nini hutaki kuhusu hizo picha.
Hiyo "Utatombe..." ingesomeka "ushatombe......"ushauri wa kwamba??wanaume wa mikoani mnatia kichefuchefu...kama unashindwa kumwambia achange DP utaweza kumwambia akufurie nguo??utatombewa dogo watch your back
Hapana mkuu utakuwa umekosea sana kuachana nae. Pambana tu kwani wewe sasa hivi ni mpenzi mtazamaji.Mi naona niachane nae wakuu maana naona kama haheshimu hisia zangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unakatisha tamaa kinoma[emoji16][emoji16][emoji16]Hapana mkuu utakuwa umekosea sana kuachana nae. Pambana tu kwani wewe sasa hivi ni mpenzi mtazamaji.
Ndo hivo mzeeAnza kwa kumsifi 'mpendeza sana" atafunguka tu na kutoa Shaka yako. Inaweza kua ni ndugu yake tu