LDA COMPANY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 340
- 633
- Thread starter
- #81
Natafuta mwingine ila yeye ntakuwa napiga miti tuu mpaka akili imkae sawaWivu ni kidonda,ukishiriki utakonda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Natafuta mwingine ila yeye ntakuwa napiga miti tuu mpaka akili imkae sawaWivu ni kidonda,ukishiriki utakonda.
Ukikua utaacha.Natafuta mwingine ila yeye ntakuwa napiga miti tuu mpaka akili imkae sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo nampanga hapa nikambandue next week huku natafuta mwingineUkikua utaacha.
ushauri wa kwamba??wanaume wa mikoani mnatia kichefuchefu...kama unashindwa kumwambia achange DP utaweza kumwambia akufurie nguo??utatombewa dogo watch your back




Nipe namba nimpe pole
Hahahahahaah mna manenooUshasema mpo kwenye long-distance relationship, na unajua fimbo ya mbali haiui nyoka. Kama umeona kapost yuko na fimbo ya karibu yake basi jua ishaua nyoka tayari.
Duh.. kaa dume mwenzio tuu!
Kasema nisimpangie uhuru wa kupost
Poa poa bossDemu unamtongoza miaka miwili kwanini asikujibu shudu za hvo..?????
Mkuu wewe unaonekana ni king'ang'anizi na una wivu kiwango cha drimulaina.
BTW achana nae tu, ila kama anafaa kwa matumizi unaweza endelea kupoza koo ila hela ulopanga kulipa mahari invest tu