The Professor
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 2,223
- 4,580
Yani bado sijaelewa best man wa engagement ndio mambo ya siku hizi au. Maana mimi nime refer maandishi yako
Ndo hivo ndugu yangu.Yani bado sijaelewa best man wa engagement ndio mambo ya siku hizi au. Maana mimi nime refer maandishi yako
Kama unamuogopa,nipe mimi namba yake ili nimwambie kwa niaba yako.
Dah broKama unamuogopa,nipe mimi namba yake ili nimwambie kwa niaba yako.
SawasawaNa wew tafuta picha na dem mkali piga picha tena na tabasamu, alafu weka caption nzur ukimsifia...
Atapanic alafu kama anamahusiano uko nje atakuwekea wazi uyajue, hapo ndo utajua mbivu na mbichi...
Yani ukifanikiwa kumuuzi ndo atakupa ukweli kama ana mtu mwingine uko
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa jinsi ulivyo na maamuzi ya haraka bila kua na uhakika wa jambo,basi utaacha wanawake wengi sana,hata ukija kuoa utateseka sana kwenye ndoa yako,jifunze jinsi ya kudeal na wanawake,sio kila vita hupiganwa kwa kutumia silaha kali au silaha za kuua,
Usikute hiyo engagement ilikuwa yake na huyo best man ndio muoajiMi naona niachane nae wakuu maana naona kama haheshimu hisia zangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nshapiga chini nduguKuna mdau post ya kwanza kabisa Kasema... watch your back.. zingatia
utupe mrejesho ukimchana, halafu mtu unataka kumuoa na kwenye matukio kama hayo ya send off za ndugu zake huendi kwa nn watu wasikusaidie malezi ya demu