Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,148
- 190,643
Kwahio kama simu sijamnunulia mimi hapaswi kuniheshimu, we ndio ukue kiakili! Acha utoto. So heshima ni mpaka nikimnunulia demu simu?acha wivu.simu ulimnunulia wewe mpka umpangie cha kupost.grow up n be a man enough
Sent using Jamii Forums mobile app

