Anapost picha yuko na best man

hawa wake mnaotaka kuoa vijana....mmmh......
 
Kasema nisimpangie uhuru wa kupost

Demu unamtongoza miaka miwili kwanini asikujibu shudu za hvo..?????

Mkuu wewe unaonekana ni king'ang'anizi na una wivu kiwango cha drimulaina.

BTW achana nae tu, ila kama anafaa kwa matumizi unaweza endelea kupoza koo ila hela ulopanga kulipa mahari invest tu
 
Poa poa boss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…