Anapost picha yuko na best man

Anapost picha yuko na best man

Inaonekana hujiamini kwenye huu uhusiano ulionao....humuamini ulie nae... Na kind of hauko comfortable na baadhi ya mambo kati yenu. Mi nakushauri bora uongee nae ili uwe na amani...kama maelezo yake hayatakutosheleza then you can decide kunyoa ama kusuka.
Sawa ndugu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
habari ndugu zangu.

Nina binti nampenda sana na nina mpango wa kuishi nae kama mke wangu. Ila mimi na yeye tupo kwenye long distance relationship. Sasa juzi kaenda kwenye sherehe ya dada ake ya engagement.

Ambacho sijaelewa anakaa anapost picha na mojawapo ni ya best man na yeye wako pamoja anaandika caption za kusifia na kaipost mara ya pili sasa. Nashindwa hata nimkataze vipi ndugu zanguni naombeni ushauri

Sent using Jamii Forums mobile app
love is equal to distance times (*) Eyes
 
ushauri wa kwamba??wanaume wa mikoani mnatia kichefuchefu...kama unashindwa kumwambia achange DP utaweza kumwambia akufurie nguo??utatombewa dogo watch your back
Bora kutombewa, kwa mwandiko ule,....... Wauni wanaweza kumtomba yeye.....

Mambo yamekua mengi na Mengi yamekua Mambo
 
Back
Top Bottom