Anapost picha yuko na best man

[emoji23][emoji23][emoji23]ulikuwa unamtafutia sababu tu huna lolote alafu punguza wivu na kupanic ovyo ovyo utakufa bure.
 
Mwanaume hutakiwi kuogopa we mwambie ukweli kuwa hupendezewi na picha ya Bestman.
 
Hii dunia haina siri...kumbe jamaa nawe tupo wote humu? Mimi huyu demu nmemfaham kwenye ile harusi nikamwona yupo single ndo nikamweka sawa .naye kumbe anapenda kampani yangu.ila sema za ukweli alinambia kuwa yeye pia anapenda namwondolea upweke...sasa hayo mengine mi sikuyajua naona unakuja kutoa povu na kutaka kupost picha zangu.

Hapo tunafikishana mbali ...wewe demu anaonekana hakutak.
 
Tafuta hela
 
Sawa mzee baba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwani unamuogopa mpenzi wako?,pengine anafanya hivyo ili we we uwone wivu..umuulize maswali.Mtafute afu umuulize na umwambie hupendi hip tabia
 
kuna viashiria vingi vinavyoweza kukuonyesha mtu uliyenaye hana hisia na wewe,na alichokuwa anakifanya ni kimoja wapo;kwa hiyo anza safari ya kutafuta mtu sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…