Anapost picha yuko na best man

Na wew tafuta picha na dem mkali piga picha tena na tabasamu, alafu weka caption nzur ukimsifia...
Atapanic alafu kama anamahusiano uko nje atakuwekea wazi uyajue, hapo ndo utajua mbivu na mbichi...

Yani ukifanikiwa kumuuzi ndo atakupa ukweli kama ana mtu mwingine uko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakwambia watu wanavunja moyo humuuuu!!!! balaaa nakwambia.
 
Kuna mdau post ya kwanza kabisa Kasema... watch your back.. zingatia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…