Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
!
Mengi nimeyafanya kisa kumpendezesha nafsi yake bila zengwe!
Mengi nimeyafanya kisa kumthibitishia ni yeye tu na hana mpinzani!
Mengi nimeyafanya kisa kumvuta naye alainike na kunilegezea masharti!
Mengi nimeyafanya kisa kutafuta uhalali wa kukubalika kwake tu!
Anapodai ushuhuda wa kupendwa huku akitoa na maangalizo yake!
Bwana Rutashubanyuma
Asante sana ubeti huo umenibamba natamani nijibu kimalenga
Lakini mie hata si malenga
Maneno yanapaswa yaendane na vitendoEzan hivi matendo yatakujaje kama hata kauli ni mgongano balaa...........
[MENTION]Its too Hypothetical! BUT ....!
Maneno yanapaswa yaendane na vitendo
FirstLady1
Today 08:45
#3
JF Premium Member Array
Join Date : 29th July 2009
Location : Mama Mwenye Nyumba
Posts : 13,014
Rep Power : 3067
Likes Received1926
Likes Given2817
[h=2]Re: Anapodai ushuhuda wa kupendwa........[/h] By Rutashubanyuma
!
Mengi nimeyafanya kisa kumpendezesha nafsi yake bila zengwe!
Mengi nimeyafanya kisa kumthibitishia ni yeye tu na hana mpinzani!
Mengi nimeyafanya kisa kumvuta naye alainike na kunilegezea masharti!
Mengi nimeyafanya kisa kutafuta uhalali wa kukubalika kwake tu!
Anapodai ushuhuda wa kupendwa huku akitoa na maangalizo yake!
Bwana Rutashubanyuma
Asante sana ubeti huo umenibamba natamani nijibu kimalenga
Lakini mie hata si malenga
Matendo si haya wajamani..lemonade
Kama haya yote hatosheki nayo basi mie naandika nimeliwa...........
yaani Ruta hivi unanisomaga akili yangu au?mimi kwa kweli nina shida na kauli sielewi nimeshaambiwa hata sielewi na wala sina mbadala maana option iliyopo ni ya kukubaliana tu na kauli, unajua Ruta inakuwa ngumu kukubaliana na kauli kama ulishazikubaligi halafu akaja akaharibu yaani hata aimbe itakuwa ngumu, yaani kwa kweli hata mi nataka ushuhuda wa kupendwa bila kauli kiaje mi sijui,
ahsante kwa kunifanya nifikirie tena hivi unamdhibitishiaje mtu unampenda?maana hata matendo hayana deal sasa hivi unaweza pewa hata nyumba na hamna kitu, maneno nayo ndo hivyo tena,
ruta,
upendo huonekana kwz vitendo........ Si unajua lile neno 'nakupenda' halina maana siku hizi?
Bwana Rutashubanyuma
Asante sana ubeti huo umenibamba natamani nijibu kimalenga
Lakini mie hata si malenga
Labda hajielewi so you need to show are that you care so much by going beyond yale anayojitakiahuo sasa ni utenzi wa siku nyingineyo.la muhimu ni kuwa nataka afanyiwe vitu ambavyo yeye anajitakia kufanyiwa..............lemonade