We dada Nakupenda sana tena Sanaa.Unaweza kula chakula ambacho hujaridhika nacho?
Niunganishe nae huyo dadaNdugu zangu,
Mwaka jana 2015 alihamia dada mmoja hivi ofisini kwetu kutoka mkoani. Mimi wakati huo na bosi hatuelewani kabisa. Basi dada mpya kwa kuona hayo akaanza kuwa karibu nami, ili kunipa faraja. Mimi sasa nikawa mbogo sikutaka kabisa ukaribu naye kwani sikumfahamu.
To cut the story huyu dada alikuwa stalker, na alihakikisha anafuatilia mpaka akapajua ninapoishi. Alipogundua sina mpenzi ndio ikawa balaa. Alisema mara kadhaa kwamba ananipenda, lakini ndani ya moyo wangu sikumfeel. Alinifanyia vitu vyote mpaka pesa alinipa, kiwanja alinunulia.
Nikamsogeza karibu na hatimaye tukavunja amri ya sita[emoji17].
Tatizo liko hapo. She is a sex maniac!!!!!!! She wants it after every two days na hizo siku ni usiku mzima hamlali. Too much of anything is harmful. After 3 months, nikamuacha. Nimerudi church maana hali yangu kisaikolojia ilikuwa mbaya.
Ni miezi 6 sasa imepita ila bado figisu zinaendelea. Watu wengine ofisini wanaona kama nimemuonea. Siri nimeitunza kwa nini nimeachana naye.
Phew!![emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27]
Na wewe mwaga ya kwako hapa...Yani jioni hii nimekataa kupokea cm kwajili ya case kama hii kumbe tupo wengi
roho mbaya tuSitaki
Mambo!Nimekumiss hadi naumwaroho mbaya tu
Hahaha........hata mimi aisee heri ya mwaka mpyaMambo!Nimekumiss hadi naumwa
Asante na kwako piaHahaha........hata mimi aisee heri ya mwaka mpya
Katoka Mkoani kwa majembe.. Huku huwa haturembi kaz kaz..Ndugu zangu,
Mwaka jana 2015 alihamia dada mmoja hivi ofisini kwetu kutoka mkoani. Mimi wakati huo na bosi hatuelewani kabisa. Basi dada mpya kwa kuona hayo akaanza kuwa karibu nami, ili kunipa faraja. Mimi sasa nikawa mbogo sikutaka kabisa ukaribu naye kwani sikumfahamu.
To cut the story huyu dada alikuwa stalker, na alihakikisha anafuatilia mpaka akapajua ninapoishi. Alipogundua sina mpenzi ndio ikawa balaa. Alisema mara kadhaa kwamba ananipenda, lakini ndani ya moyo wangu sikumfeel. Alinifanyia vitu vyote mpaka pesa alinipa, kiwanja alinunulia.
Nikamsogeza karibu na hatimaye tukavunja amri ya sita[emoji17].
Tatizo liko hapo. She is a sex maniac!!!!!!! She wants it after every two days na hizo siku ni usiku mzima hamlali. Too much of anything is harmful. After 3 months, nikamuacha. Nimerudi church maana hali yangu kisaikolojia ilikuwa mbaya.
Ni miezi 6 sasa imepita ila bado figisu zinaendelea. Watu wengine ofisini wanaona kama nimemuonea. Siri nimeitunza kwa nini nimeachana naye.
Phew!![emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nipe pesaroho mbaya tu
nipe namba yako ya M-Pesa[emoji23] [emoji23] [emoji23] nipe pesa
Nashukuru, itabidi tuanze mwaka mpya na mambo mapya tusiwe tunanyimana mambo yetu yale ya kiutu uzimaAsante na kwako pia