Anapenda kufanya mapenzi sana, najuta!

Anapenda kufanya mapenzi sana, najuta!

Yaani dogo kanishangaza kweli aiseee, kuna watu hawana aibu, Ushindwe kusex?? Sisi wakati ule kabla ya kuoa tulikua tunafanya hio kitu hadi unashindwa kutembea!! sasa eti unakuja kuandika kuwa umeshindwa!! Kijana wa kiume?? Aiseeeee halafu baada ya siku mbili tatu tunalalamika kuwa wapenzi wetu wana michepuko
Labda ana sababu zake nyingine..
 
Kama alinunua mpaka kiwanja mwenzako alishakuwa na mahesabu ya kuimbiwa anawakawaka, ana meremeta wakati wewe ulikuwa una have fun. Hii inatokeaga mara nyingi, wanawake tukianza tu relationship tunakuwa tumeshajenga picha ya gauni leupe kichwa, vikiishia kati kati tunaumia sana.
Kiwanja alininunulia mimi. Yeye anavyo vyake. Nimegundua baadaye alikuwa ameshaenda mbali sanaaaa. Mimi huku mwendo wa kobe. So naive.
 
Duh! You have hit the nail on the head. I should have waited for my feelings to grow. Lakini spidi yake iliniponza. She did everything, kunisogeza. My heart totally refused. Nimemuumiza.
Men are the hunters by nature, they enjoy to do the chasing. When they become the hunted, they lose interest! She should have played hard to get, maybe you would still be together.
 
Hivi hiz habari huwa za kweli? Mara nimenunuliwa kiwanja, kupewa pesa nk dah! Huwa siziamin kivile labda hadi nishuhudie
 
nina rafiki yangu yeye anapenda kusex jamani na anapenda wanume wenye uume mkubwa ila nachompendea akiona hamuendani anakupiga chini fasta utasikia miss unamkumbuka fulani ndiyo nimemuacha sababu nitamcheat sana.... naamini si huyu rafiki yangu .. sitoi namba
Ndege wanaofanana huruka pamoja btw huu msemo huniingiagi akilini aisee inawezenaje???
 
Huenda wewe ndo ukawa na matatizo, ishu moja ni kwamba inakuwa ngumu kutoa maoni maana hatujui upande wa pili pakoje.
 
Nichofahamu ile biashara usishiriki na mtu unaefanya nae kazi ofisi moja au mnakaa nyumba moja ya kupanga, yakiharikibika asubuhi hutaki kwenda ofisini wakati ndiyo mkate unakotoka. Kama mnaishi nyumba moja ya kupanga, asubuhi unamlia timing unaoga kabla hajaamka, kasheshe ukimaliza kazi, hutaki kurudi nyumbani.
exactly, kabla sijaolewa nilikuwaga nawambia watu sitaki mahusiano na mwanaume yoyote ambae niko nae karibu kimakazi au kikazi, walikuwa hawanielewi
 
Nichofahamu ile biashara usishiriki na mtu unaefanya nae kazi ofisi moja au mnakaa nyumba moja ya kupanga, yakiharikibika asubuhi hutaki kwenda ofisini wakati ndiyo mkate unakotoka. Kama mnaishi nyumba moja ya kupanga, asubuhi unamlia timing unaoga kabla hajaamka, kasheshe ukimaliza kazi, hutaki kurudi nyumbani.
Ahahaaaaa...you made my year 2016...

jf never boring...
 
Back
Top Bottom