Anakwenda wapi huyo? Hivi ni kweli huwa wanapazwa? Nisaidie kwa hili rafiki na wengine wenye utaalamu huo
Airforce 0
Mbona wapo wengi...... Ahsante ndg. mshana jr THE BRAVEHaya mambo mi huona kama stori hayana uhalisia wowote
bro nyoka wa aina hiyo wanaoruka wapo. duniani kuna viumbe ukiwaona kwa akili ya kawaida utakataa MUNGU MKUBWAHaya mambo mi huona kama stori hayana uhalisia wowote
Mkuu, Natazamia kuchukuwa somo muhimu juu yao....Nailed...!!!
Kaka huyu mdudu ni mambo ya Giza au wapo nyoka wenye kuruka hivyo wanaitwaje ? Hawa wadudu nawaogopa sana aisee
Airforce 0
NADHANI HII NI SYMBOL YA SHETANI ALWAYS AND FOREVER....Kaka huyu mdudu ni mambo ya Giza au wapo nyoka wenye kuruka hivyo wanaitwaje ? Hawa wadudu nawaogopa sana aisee
Chuki mbaya !!!AGHRRRRRRRRRRR NAVHUKIA HAYA MAJAMAA UMENIHARIBIA SIKU MKUU
utakuwa muhindii wewe ndo wanapenda nyoka hasa cobra....Chuki mbaya !!!
Hata kwetu Morocco tuna dili nao... karibu tuvutie watalii !!utakuwa muhindii wewe ndo wanapenda nyoka hasa cobra....
uchunguzi unaendelea