mkuu ukiongelea flotation lazma uitaje fluid, sasa fluid ina include hadi air, sasa kwann hiyo law isiwe applicable hapo?Hii hii fizikia yetu ya form two tunayosoma ya Bernoulli's principle sijui law of flotation na thrust ndio inatumika kumnyayua mnyama kama nyoka angani kapten?
hahaaaaa ukichek physics behind flying snakes utaona kuna kitu kinaitwa aerodynamics, hapo ndo kila kitu mkuumshana jr utaniua, mwenzako hiyo Bachela yenyewe bado, naona unashusha mambo ya PhD....tafadhali mkuu slow down man
Hahhahahaaaa chukua hii basi[/hapo sawa mkuu![]()
Hahhahahaaaa chukua hii basi![]()
Nakunywa valuer niagize kiroba au chupa?! [emoji85] [emoji23] [emoji85] [emoji23] [emoji23]Yaani kamanda hapo umemaliza mchezo wote. Kumbe mambo mepesi tu! Ashukuriwe Mungu anayetupa ufahamu na kutujalia maarifa, Ahsante sana mshana jr , hapo nilipoona umbo kama la bawa la ndege EROPLENI ndio akili imefunguka mkuu.
Nakunywa valuer niagize kiroba au chupa?! [emoji85] [emoji23] [emoji85] [emoji23] [emoji23]
Agiza dompo baridi mkuuNakunywa valuer niagize kiroba au chupa?! [emoji85] [emoji23] [emoji85] [emoji23] [emoji23]
Duuuh hicho ndo kitu walevi ni mwiko, bora uipokee dompo af ndo uongee na mhudumu muone mnafanyaje lakini sio kupewa cash badala ya pombeIna hangover kali hiyo kama ikiwezekana tuibadili kwa cash money
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duuuh hicho ndo kitu walevi ni mwiko, bora uipokee dompo af ndo uongee na mhudumu muone mnafanyaje lakini sio kupewa cash badala ya pombe