Foxhunters
Senior Member
- Nov 25, 2019
- 166
- 110
Salamu, wakuu kuna ndugu yangu kapata GPA ya 1.3 first year. Kwa matokeo haya kuna namna ya kuingia mwaka wa pili??? Kweli
Au imeshatoka akafanye maisha mengine mtaani
Au imeshatoka akafanye maisha mengine mtaani


. Asione kama huo ndo mwisho wa maisha, hapana maisha bado yanaendelea.