Anaomba ushauri wako!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anaomba ushauri wako!!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Jilanga, Mar 19, 2011.

 1. Jilanga

  Jilanga JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2011
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 254
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mnamo April 2008 Rafiki yangu {Patriot} amekuwa akichat na binti anayejitambulisha kwa jina la Julieth! Wakati huo Patriot Akiwa 4m five Nsumba Sec Mwanza!

  Hawajawahi kuonana face to face kwani Rafik yangu yupo Rock-city na bint yuko Ar! Bint mwanzo aljidai kukosea no lakini kadri muda ulivyozidi kwenda alpendezwa na busara za Bwana Patriot kwani alikuwa mkweli na Mcha Mungu na hatimaye akataka wawe wapenzi! Patriot hakuridhia ombi la Julieth na kumtaka wafahamiane zaidi!

  Julieth alitoa wasifu wake kuwa ni Mcha Mungu, Mkweli, Hajui tendo la ndoa,{Bikra} hajui harufu ya Pombe wakati huo alikuwa kidato cha nne '09 na kwamba ni get kali kupita maelezo! Japo saivi yupo home baada ya kumaliza kidato cha sita.

  Patriot anahofu Juu ya Julieth kuwa huenda asiwe binadamu wa kawaida kwan anajua vitu vingi sana kuhusu Patriot na maisha kwa ujumla na wakati mwingi Pat akimzungumzi tu, either anamtext or anapigiwa Cm!

  Julieth amemwomba Patriot waonane Pasaka Jijin Ar! Gharama za usafiri Malaza, chakula Bint atagharamia!

  Je unamshauri nini Kijana Patriot juu ya jambo hli? Je aende au apotezee? Je Kunauwezekano wakaona?
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwahiyo mtu akijua maisha sio binadamu?Anayojua kuhusu mwanaume si kamwambia mwenyewe?
   
 3. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #3
  Mar 19, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Jini kwanini awe jini??
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Eti kisa anajua maisha na mambo mengi kumhusu mwanaume!
   
 5. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #5
  Mar 19, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Hapa Lizzy huyu jamaa kamwambia kila kitu mwenyewe halafu anashangaa
   
 6. Kaka Mpendwa

  Kaka Mpendwa JF-Expert Member

  #6
  Mar 19, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 771
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  kuna njia na namna nyingi watu wanakutana, hatimaye kufahamiana na pia hata kuoana.

  Toka 2008 wanasiliana, mi nashauri kama anataka aingie hatua nyingine ya uhusiano ni vyema wakakutana. Kama ni mpango wa Mungu, mambo yatakuwa mazuri tu

  Kama hawezi ni bora na uhusiano aupotezee na aanglie kwingine..
   
 7. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #7
  Mar 19, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Julieth amemwomba Patriot waonane Pasaka Jijin Ar! Gharama za usafiri Malaza, chakula Bint atagharamia!

  Je unamshauri nini Kijana Patriot juu ya jambo hli? Je aende au apotezee? Je Kunauwezekano wakaona?[/QUOTE]

  Badala ya kumshauri Patriot, ninakushauri wewe kwa inawezekana Patriot ukawa wewe, na ikiwa siwe, mpelekee Patriot ujumbe huu:
  1. Majini na vibwengo haviingii kwenye mtandao. Julieth ni mtu.
  2. Hapo nyekundu, ikiwa ataamua kwenda AR, achukuwe nauli na gharama nyengine za kujikimu za kutosha, just in case.
   
 8. Chris_Mambo

  Chris_Mambo JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2011
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 597
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  obviously, bint anamfahamu fika huyo jamaa. La msingi hapo, kama amesema atamgharamia nauli, chakula na malazi; ni vyema nauli ya kurudia ampatie kabisa ili atakapokutana naye, kwa asilimia kubwa kama ni mtu anayemfahamu na hakumdhania, aweze kurudi Mwanza siku hiyo hiyo if possible!!!!
   
 9. K

  Kitunguunyanya Member

  #9
  Mar 19, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aende tu wakaonane sio ila achukue hela za akiba ili kama akitoswa aweze kujisaidia. Mimi mwenyewe mke wangu nilimpata kupitia mtandao
   
 10. Jilanga

  Jilanga JF-Expert Member

  #10
  Mar 19, 2011
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 254
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Badala ya kumshauri Patriot, ninakushauri wewe kwa inawezekana Patriot ukawa wewe, na ikiwa siwe, mpelekee Patriot ujumbe huu:
  1. Majini na vibwengo haviingii kwenye mtandao. Julieth ni mtu.
  2. Hapo nyekundu, ikiwa ataamua kwenda AR, achukuwe nauli na gharama nyengine za kujikimu za kutosha, just in case.[/QUOTE]

  Ahsante kwa ushauri wako yakinifu. Mungu akuzidishie hekima!
   
 11. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #11
  Mar 19, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Asali sana kabla ya kwenda kukutana nae isije ikawa si mipango ya mungu
   
 12. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #12
  Mar 19, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  mwambie ahakikishe anakuli tundi.
   
 13. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #13
  Mar 19, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Halafu akila amwache?
   
 14. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #14
  Mar 19, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,917
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Mh! Kama jamaa ameshikwa na wasiwasi, amwambie Binti aende Mwanza, as long as ameahidi kumgharamia jamaa nauli pamoja na malazi, basi hizo gharama azitumie yeye kujigharamia atakaokuwa Mwanza..
   
 15. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #15
  Mar 20, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  kuna pande mbili za shilingi

  ya weza kuwa ni muongo
  au kweli ni mcha Mungu and so on..

  kwani nini kama jaamaa yuko single achukue chance zake..
  kwa mie naoana aende ajionee mwenyewe...
  si laziama amuoe anaweza kwenda na asifurahishwe na kitu kimoja au viwili
  akachapa mwendo ...

  Life is all about taking opportunities/ chances
  and you will never know until you try it..

  my be will turn out to be the best thing in your life..
  so im saying GO FOR HER.......
  mmmhhhhh
   
 16. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #16
  Mar 20, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Aende tu, mwanaume hatakiwi kuwa muoga muoga.
  Ataweza kupigana vita kweli huyo..
   
 17. N

  NYAMLENGWA Member

  #17
  Mar 20, 2011
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Juliet amentsha akiongelew 2 an2ma sms au anpga cm y dat sasa?
   
 18. m

  mareche JF-Expert Member

  #18
  Mar 20, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 475
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  huenda ni binadamu kwani wasichana wa arusha ni wajanja kimoma pia abebe pesa za kijikimu asije schwa solemba
   
 19. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #19
  Mar 20, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Tatizo lako ni kUjiamini, Nenda kajionee kwa macho yako, Kwa jinsi anavyo wasiliana na wewe isikupe shida it seems kuna chemistry hapo. Ila usiache ushauri wa Chris mambo hapo juu. Hakikisha unamshiko wa kutosha kwa nauli na mahitaji mengine ili mambo yakiwa ndivyo sivyo usianze kutuomba nauli ya kurudia kwenu. halafu kama mtoto wa kiume unatakiwa umiliki jukwaa usiende kule ukaendeshwa kwa rimote. NENDA NA MSHIKO WA KUTOSHA.
   
 20. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #20
  Mar 20, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Aangalie yaliyomo yamo ama yanamwajika!! ....c amesema ye bikra.
   
Loading...