Mpini Wa Chuma
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 1,728
- 1,330
Hahaha huyu ni crazy chiz...
Majini mengine yanakuambia ukimbie, wewe unalazimisha. Shauri yako, usije kurudi humu kuomba ushauri wa yatakayokukuta na kukuharibikia maishani mwako.
Maneno mengine usichukulie utani, ungekuwa kwenye anayotaka kupata au kukamilisha angeshakutenda. Haumfai kwa nia zake, kaa mbali.
Bila shaka huyu atakuwa katoka katavi kwa pinda [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] maana kule hivi vitu huwa hawajui wanajua mambo ya kusafiri usiku angani tuKabla ya kufika mwanza umetokea mkoa gani??