Mayor of kingstown
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,920
- 4,216
W n xhoga unaoggopa dem kixa neno dogo ivy au nd mgen nn
Hahaha mkuu kumbe mna group lenu la whatsapp.. Pliz nileteni huko kwenye group..Ukhuty sikuone kule group letu la whatsaap
msalimie "naantombe mushi"
Hata hivo nime mshit.. Mwanamke yule kwa kweli hapana.. Daaah..Majini mengine yanakuambia ukimbie, wewe unalazimisha. Shauri yako, usije kurudi humu kuomba ushauri wa yatakayokukuta na kukuharibikia maishani mwako.
Maneno mengine usichukulie utani, ungekuwa kwenye anayotaka kupata au kukamilisha angeshakutenda. Haumfai kwa nia zake, kaa mbali.
Daaah..mi hicho kibao kata kwa kweli hata sikijui... Nakiskiaga tu kwa kweli.. Hata sijui ndo unamfanya nini mtuKwani wewe huwezi kabili hicho kibao kata
Yah yah man, nimemshit hata hivo.Soma nyakati
Kamaanisha atakuu kwa ukimwi
Eeeka MonacoooNaantombe....Mushi
Zoea tu hii misamiati mkuu.. Kwani wewe mgeni JF?Gegedo, papuchi, duh mimi simo[emoji12] [emoji12]
Maneno mengi sana mkuu.. Nimehisi anaweza kuniletea shida..ila sio nimemuogopa kumla..W n xhoga unaoggopa dem kixa neno dogo ivy au nd mgen nn
mbonsafooo,mbonsa wanaaa....kidasaaa...hayang MEKUUEeeka Monacooo
Mkwe usiseme basi tena.. Nimemshit kabisa.. Hata hoteli nahama kesho..Huyo atakuwa na ngoma... Ametumia fasihi kukufikishia ujumbe ili akishakuua usije ukamlaumu baadaye kwa nini hakukuambia...
Ehhh kudo kudo meku akwa...mbonsafooo,mbonsa wanaaa....kidasaaa...hayang MEKUU
Mwanaume haogopi maneno.....blazaSi hivo mkuu, tatizo manzi anaongea sana mpaka nikasanda..
VzrYah yah man, nimemshit hata hivo.