Jamani wadau nisaidieni, kuna mtu alikutana na mdogo wangu akampenda sana, akamfwatilia bila mafanikio, then akakutana na mimi akachanganyikiwa zaidi na mimi nikasema no sasa karudi kwa mdogowangu tena yani hizi air time za bukukumikumi nianatuma kama hana mawazo, akitolewa nduki anarudi kwangu tena anaanza upya na hajui kama mi na mdogo wangu tunajua anchofanya je huyu mtu tumfanyeje? tuendelee kutumia vijisenti hivyo au tu mtoe nishai? nisaidieni.
wewe na mdogo wako wote
hamjatulia,
na huyo jamaa angekuwa na utaalamu wa kutongoza,
angeshawapitia wote,
msimuone ***** kwa kuwa hajaamua yupi kati yenu atulie nae,
kimsingi hajakosea kuwatongoza wote,angekosea kama angekuwa
ameshatembea na mmoja wenu,
nyinyi mnatakiwa kuamua ni nani anaetaka kuwa nae,na si kumchuna tu.
kutongoza wanawake hata kumi sio kosa,kosa ni kutembea nao.
usisahau kotongoza pia ni kubahatisha,so jamaa bado anabahatisha hajui wapi pata tiki.
kumbuka kasema jamaa hajui kama wote wanajua anawatokea.....ila wakati mwingine wanaume huwa mnakosea...kwa nini utongoze mtu na mdogo wake?
huyo Fataki achaneni nae hana mpango ,kha huyo mhuni aliyepitiliza ,lakini na nyie kwa nn one day yes akimpa appointment mmoja mnaenda wote mnamtolea uvivu
Actually, from the look of things, the two ladies are at war for the guy!..na kama hawa'ssort out haraka wataleteana za ki'Tarime!waende wote wakose elfu kumi kumi za vocha???
wote watatu hawajatulia.
simlaumu mwanaume kwa sababu bado anabahatisha,hajatembea nao,
Time will tell.....atawala wote wawili
Doooo yote maisha angalieni mtapitiwa wote.....mgombane!!!
Jamani wadau nisaidieni, kuna mtu alikutana na mdogo wangu akampenda sana, akamfwatilia bila mafanikio, then akakutana na mimi akachanganyikiwa zaidi na mimi nikasema no sasa karudi kwa mdogowangu tena yani hizi air time za bukukumikumi nianatuma kama hana mawazo, akitolewa nduki anarudi kwangu tena anaanza upya na hajui kama mi na mdogo wangu tunajua anchofanya je huyu mtu tumfanyeje? tuendelee kutumia vijisenti hivyo au tu mtoe nishai? nisaidieni.
Hwa wameshaliwa wote au mmoja kashaliwa. Wakiliwagwa hawaambiani, wakitongozwa ndo wanasema. I have been there I know.
Hapa swali la mamushka lilitakiwa liwe hivi: kuna jamaa anamkula mdogo wangu lakini mm namzimika kichizi nifanyeje?