Ananipenda mimi na mdogo wangu nisaidieni.

Mamushka

JF-Expert Member
Feb 17, 2010
1,595
99
Jamani wadau nisaidieni, kuna mtu alikutana na mdogo wangu akampenda sana, akamfwatilia bila mafanikio, then akakutana na mimi akachanganyikiwa zaidi na mimi nikasema no sasa karudi kwa mdogowangu tena yani hizi air time za bukukumikumi nianatuma kama hana mawazo, akitolewa nduki anarudi kwangu tena anaanza upya na hajui kama mi na mdogo wangu tunajua anchofanya je huyu mtu tumfanyeje? tuendelee kutumia vijisenti hivyo au tu mtoe nishai? nisaidieni.
 
wewe na mdogo wako wote
hamjatulia,
na huyo jamaa angekuwa na utaalamu wa kutongoza,
angeshawapitia wote,
msimuone ***** kwa kuwa hajaamua yupi kati yenu atulie nae,
kimsingi hajakosea kuwatongoza wote,angekosea kama angekuwa
ameshatembea na mmoja wenu,
nyinyi mnatakiwa kuamua ni nani anaetaka kuwa nae,na si kumchuna tu.

kutongoza wanawake hata kumi sio kosa,kosa ni kutembea nao.
usisahau kotongoza pia ni kubahatisha,so jamaa bado anabahatisha hajui wapi pata tiki.
 
halafu hizi thread za kujifagilia humu ndani tumeshachoka.
eti alipokuona wewe ndo akachanganyikiwa kabisa,really?
hebu weka picha yako tuone utachanganya wangapi humu?
isije kuwa jamaa kaambiwa nyinyi hamjui sema no??????
 
wewe na mdogo wako wote
hamjatulia,
na huyo jamaa angekuwa na utaalamu wa kutongoza,
angeshawapitia wote,
msimuone ***** kwa kuwa hajaamua yupi kati yenu atulie nae,
kimsingi hajakosea kuwatongoza wote,angekosea kama angekuwa
ameshatembea na mmoja wenu,
nyinyi mnatakiwa kuamua ni nani anaetaka kuwa nae,na si kumchuna tu.

kutongoza wanawake hata kumi sio kosa,kosa ni kutembea nao.
usisahau kotongoza pia ni kubahatisha,so jamaa bado anabahatisha hajui wapi pata tiki.

kumbuka kasema jamaa hajui kama wote wanajua anawatokea.....ila wakati mwingine wanaume huwa mnakosea...kwa nini utongoze mtu na mdogo wake?
 
kutongoza ni kubahatisha sometimes,
naweza kukutongoza wewe nikaona unaniringia kupita kiasi,
nikamtongoza dada yako nikaona chemistry ipo juu sana,kwa hiyo
mwisho nachagua mmoja,kibaya ni kuwapitia wote na sio kutongoza wote.
 
Mamushka, umenitisha kidogo besti!
Unaongelea juu ya kumchuna mtu wewe na mdogo wako, wakati uko member wa Great Thinkers?..(oooh my neighbours daughter at puberty!)!!!

Huyu JAMAA ni mpendaji wa kawaida jamani, anatesti zali, why treating him like a gold-mine!...Achaneni na hii maneno bana...hasa wewe Mamushka, msomaji wa JF...AIBU!
 
huyo Fataki achaneni nae hana mpango ,kha huyo mhuni aliyepitiliza ,lakini na nyie kwa nn one day yes akimpa appointment mmoja mnaenda wote mnamtolea uvivu
 
waende wote wakose elfu kumi kumi za vocha???
wote watatu hawajatulia.
simlaumu mwanaume kwa sababu bado anabahatisha,hajatembea nao,
 
Hakuna ubaya wowote kutongoza mtu na dada yake. Niliwahi kumtongoza dada mtu lakini nilikuwa simpendi sana. Nikatongoza mdogo basi mambo yakajipa na nikaachana na mkubwa.
 
waende wote wakose elfu kumi kumi za vocha???
wote watatu hawajatulia.
simlaumu mwanaume kwa sababu bado anabahatisha,hajatembea nao,
Actually, from the look of things, the two ladies are at war for the guy!..na kama hawa'ssort out haraka wataleteana za ki'Tarime!
Sikutegemea kusoma makitu ya hivi...!:eek:
 
1.Kama wote wewe na mdogo wako mmeshajua kwanini hamjaamwacha maana mmeshaona aina ya mtu mnaye deal naye?

2. The fact that mnaendelea kumuendekeza na kumlia vyake hata kama hajui mnahusiana kindugu inaonyesha wote watatu - nyie na huyo bwana hamjatulia.

3.Mnajua mnachokifanya hivyo hamhitaji ushauri hapa JF!
 
Doooo yote maisha angalieni mtapitiwa wote.....mgombane!!!

Hwa wameshaliwa wote au mmoja kashaliwa. Wakiliwagwa hawaambiani, wakitongozwa ndo wanasema. I have been there I know.

Hapa swali la mamushka lilitakiwa liwe hivi: kuna jamaa anamkula mdogo wangu lakini mm namzimika kichizi nifanyeje?
 
Jamani wadau nisaidieni, kuna mtu alikutana na mdogo wangu akampenda sana, akamfwatilia bila mafanikio, then akakutana na mimi akachanganyikiwa zaidi na mimi nikasema no sasa karudi kwa mdogowangu tena yani hizi air time za bukukumikumi nianatuma kama hana mawazo, akitolewa nduki anarudi kwangu tena anaanza upya na hajui kama mi na mdogo wangu tunajua anchofanya je huyu mtu tumfanyeje? tuendelee kutumia vijisenti hivyo au tu mtoe nishai? nisaidieni.

Ni ninyi wenyewe ndio mnamuendekeza. Pengine mnafurahia attention anayowapa la sivyo mngekuwa mmeshamweleza tokea zamani kuwa hamko interested.
 
Hwa wameshaliwa wote au mmoja kashaliwa. Wakiliwagwa hawaambiani, wakitongozwa ndo wanasema. I have been there I know.

Hapa swali la mamushka lilitakiwa liwe hivi: kuna jamaa anamkula mdogo wangu lakini mm namzimika kichizi nifanyeje?

pole sana.
ulimegwa wewe na ndugu yako?
jamaa alifaidi lakini
 
Jamani wadau nisaidieni, kuna mtu alikutana na mdogo wangu akampenda sana, akamfwatilia bila mafanikio, then akakutana na mimi akachanganyikiwa zaidi na mimi nikasema no sasa karudi kwa mdogowangu tena yani hizi air time za bukukumikumi nianatuma kama hana mawazo, akitolewa nduki anarudi kwangu tena anaanza upya na hajui kama mi na mdogo wangu tunajua anchofanya je huyu mtu tumfanyeje? tuendelee kutumia vijisenti hivyo au tu mtoe nishai? nisaidieni.

Kwani unahisi huyo jamaa anataka nini?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom