Bob12
JF-Expert Member
- Feb 27, 2017
- 11,422
- 58,790
Awe moto au baridiPunguza sitaki nataka
Awe moto au baridiPunguza sitaki nataka
Hahaaa! Anachoona kwake kinamfaaAwe moto au baridi
Hajafahamu nyakati bado,tusimlaumu sanaHahaaa! Anachoona kwake kinamfaa
Si umshauri na wewe mtoto wa mwanaume mwenzio.......Khaaa!!
Sasa hapo tukushauri kitu gani bro!?
Kila kizuri kula na nduguyo njoo pm nipe namba zako tuyajenge ikiwezekana twende wawili ili wewe uchukue mmoja na Mimi mmoja maana inaonekana huyo mama anataka watoto wake waolewe . njoo pmHabari za mida ndugu zangu wakubwa shikamooni. Kijana nakuja kwenu nahitaji msaada wenu wa kimawazo.
Kuna Mama mmoja tumejuana kupitia mambo ya kanisa ambaye niliunganishwa naye kutoka kwa rafiki yangu baada ya Yule mama computer yake kuwa na hitilafu akawa anahitaji mtaalamu baada ya kuhangaika nayo sana ndo akanipata Mimi kupitia rafiki yangu mungu alisaidia tatizo nikalitatua halikuwa kubwa sana sema mafundi wakishindwa kutambua tatizo ni nini .
Baada ya Hapo mama akatokea kunizoea nami nikamzoea pia tukaishi kwa kuheshimiana kama mama na mwanae nashauri mambo mengi ya kiutaalamu pia ananishauri mambo mengi ya kimaisha nafurahia uhusiano wetu.
Uyo mama ana watoto wanne wa kiume mmoja na mabinti watatu. Kuna binti yake wa tatu kamaliza diploma mambo ya kilimo mlokole sana kwa kweli mzuri msitaarabu sana MAMA yake ananilazimisha nimtongoze awe mpenzi wangu anadai anatamani Sana niwe mkwe wake na anadai binti yake ananifaa na kweli ananifaa yapata wiki ya tatu ananiambia ayo maneno nashindwa nifanyeje ntaanza vipi na nini kitakuwa hatima ya uhusiano Wangu na uyo mama.
Naombeni ushauri wana Jf sijui nifanye nini
Itamchukua muda asipokuwa makini na mpaka akishtuka ameshachelewa.Hajafahamu nyakati bado,tusimlaumu sana
Unachosema ni kweliWanaume tunazidi kupungua duniani asee,mmh hii ni hatari!
Pakua application ya Mama afu ndo basi ataacha hizo hbrHabari za mida ndugu zangu wakubwa shikamooni. Kijana nakuja kwenu nahitaji msaada wenu wa kimawazo.
Kuna Mama mmoja tumejuana kupitia mambo ya kanisa ambaye niliunganishwa naye kutoka kwa rafiki yangu baada ya Yule mama computer yake kuwa na hitilafu akawa anahitaji mtaalamu baada ya kuhangaika nayo sana ndo akanipata Mimi kupitia rafiki yangu mungu alisaidia tatizo nikalitatua halikuwa kubwa sana sema mafundi wakishindwa kutambua tatizo ni nini .
Baada ya Hapo mama akatokea kunizoea nami nikamzoea pia tukaishi kwa kuheshimiana kama mama na mwanae nashauri mambo mengi ya kiutaalamu pia ananishauri mambo mengi ya kimaisha nafurahia uhusiano wetu.
Uyo mama ana watoto wanne wa kiume mmoja na mabinti watatu. Kuna binti yake wa tatu kamaliza diploma mambo ya kilimo mlokole sana kwa kweli mzuri msitaarabu sana MAMA yake ananilazimisha nimtongoze awe mpenzi wangu anadai anatamani Sana niwe mkwe wake na anadai binti yake ananifaa na kweli ananifaa yapata wiki ya tatu ananiambia ayo maneno nashindwa nifanyeje ntaanza vipi na nini kitakuwa hatima ya uhusiano Wangu na uyo mama.
Naombeni ushauri wana Jf sijui nifanye nini
Itamchukua muda asipokuwa makini na mpaka akishtuka ameshachelewa.
Itamchukua muda asipokuwa makini na mpaka akishtuka ameshachelewa.
Jamaa jinga kabisa...linataka tulisaidie kutongoza.. Ona hapo limesema ni kweli anamfaaNafsi yako inakusukumaje? Kama unahisi anakufaa nenda
anadai anatamani Sana niwe mkwe wake na anadai binti yake ananifaa na kweli ananifaa yapata wiki ya tatu ananiambia ayo maneno n
Sio lazima ushauri. Hata ukimtia moyo tu inatosha... Mtie moyo akaze buti ang'oe mtoto...Khaaa!!
Sasa hapo tukushauri kitu gani bro!?
HahaaSio lazima ushauri. Hata ukimtia moyo tu inatosha... Mtie moyo akaze buti ang'oe mtoto...
Tulivyozoeana naona ngumu bora ningejisukuma mwenyewe sio kuambiwaNafsi yako inakusukumaje? Kama unahisi anakufaa nenda
Ni mzuri ila jinsi nnavyoheshimiana na mamaake namwona Kama dadaUnataka mke wa aina gani mkuu