Ananilazimisha nimtongoze binti yake mlokole

Mpenzi ninae ila kuna sifa zinapelea kwake ukimlinganisha na uyo, na uyo binti ni mzuri ana kila sifa ya kupendwa na yeyote ila sikumpenda before kutokana na tibia zake za kilokole pia nimekuwa kama family friend wao wananiona kama kaka yao
Sasa mkuu siumwambie huyo mama kama tayar unampenz au anataka umchezee binti yake? Kama vipi mwambie akutongozee
 
Hapana tatizo ananiitaga kaka tumezoeana hivyo ukichanganya na ulokole wake sijui nianzeje na uku mama yake kaniganda
walokole wanakuwaga na nyege haooo
hatari

huyo wala usijishtukie ukimkonyeza, ukampa maneno mawili matatu atakuganda huyo
walikole wanapenda malovee ila wanajikakamua kutulia
 
Dah hatari sana mkuu Yule mama Hana ushangingi wowote ni mtu wa dini Sana sema kachangamka dini haijamkolea Kama binti yake
masikini una miaka mingapi? Nani alikwambie mashangingi wa kilokore wanajionesha?

Kama nadanganya mwombe uone kama atakunyima ahaaa utoto raha sana ulokore ni mwamvuri ogopa sana watu hao

kuna siku atakwambia ameoteshwa
 
1. Inaonekana inampenda binti ila inamwogopa mama.
2. He inatarajia maisha yako, hasa ya ndoa, yaweje?
3. Inaonekana binti amefika bei, ila ukawa zoba haya mama kuinhilia ili kurahisisha mchezo.
4. Je unatarajia kuishi karibu na familia ya wakwe? Usipokuwa making utakuwa house boy.
5. ...
 
Habari za mida ndugu zangu wakubwa shikamooni. Kijana nakuja kwenu nahitaji msaada wenu wa kimawazo.

Kuna mama mmoja tumejuana kupitia mambo ya kanisa ambaye niliunganishwa naye kutoka kwa rafiki yangu baada ya yule mama computer yake kuwa na hitilafu akawa anahitaji mtaalamu baada ya kuhangaika nayo sana ndo akanipata mimi kupitia rafiki yangu Mungu alisaidia tatizo nikalitatua halikuwa kubwa sana sema mafundi wakishindwa kutambua tatizo ni nini.

Baada ya hapo mama akatokea kunizoea nami nikamzoea pia tukaishi kwa kuheshimiana kama mama na mwanae nashauri mambo mengi ya kiutaalamu pia ananishauri mambo mengi ya kimaisha nafurahia uhusiano wetu.

Uyo mama ana watoto wanne wa kiume mmoja na mabinti watatu. Kuna binti yake wa tatu kamaliza diploma mambo ya kilimo mlokole sana kwa kweli mzuri msitaarabu sana mama yake ananilazimisha nimtongoze awe mpenzi wangu anadai anatamani sana niwe mkwe wake na anadai binti yake ananifaa na kweli ananifaa yapata wiki ya tatu ananiambia ayo maneno nashindwa nifanyeje ntaanza vipi na nini kitakuwa hatima ya uhusiano wangu na uyo mama.

Naombeni ushauri wana JF sijui nifanye nini?
Hapo tembeza rungunyama kwa huyo mama na huyo binti yake, itakua ndo mwisho wa mchezo.
 
we ujaribu ndo utajuaaa kwamba wanaohamaga usiku wanapenda au hawapendiii
 
''Ajifanyiaye marafiki wengi ni kwa UANGAMIVU wake mwenyewe'' Mithali 18:24b
 
Habari za mida ndugu zangu wakubwa shikamooni. Kijana nakuja kwenu nahitaji msaada wenu wa kimawazo.

Kuna mama mmoja tumejuana kupitia mambo ya kanisa ambaye niliunganishwa naye kutoka kwa rafiki yangu baada ya yule mama computer yake kuwa na hitilafu akawa anahitaji mtaalamu baada ya kuhangaika nayo sana ndo akanipata mimi kupitia rafiki yangu Mungu alisaidia tatizo nikalitatua halikuwa kubwa sana sema mafundi wakishindwa kutambua tatizo ni nini.

Baada ya hapo mama akatokea kunizoea nami nikamzoea pia tukaishi kwa kuheshimiana kama mama na mwanae nashauri mambo mengi ya kiutaalamu pia ananishauri mambo mengi ya kimaisha nafurahia uhusiano wetu.

Uyo mama ana watoto wanne wa kiume mmoja na mabinti watatu. Kuna binti yake wa tatu kamaliza diploma mambo ya kilimo mlokole sana kwa kweli mzuri msitaarabu sana mama yake ananilazimisha nimtongoze awe mpenzi wangu anadai anatamani sana niwe mkwe wake na anadai binti yake ananifaa na kweli ananifaa yapata wiki ya tatu ananiambia ayo maneno nashindwa nifanyeje ntaanza vipi na nini kitakuwa hatima ya uhusiano wangu na uyo mama.

Naombeni ushauri wana JF sijui nifanye nini?
Bro...wewe endeleza ustaarabu wako Mungu atakulipa kwa kuwa muaminifu...ila Nina ombi moja..siku ukiwa unaenda kwa uyo mama tafadhari niambie twende wote..Ili Mama awe na Sample kubwa ya kuchagua..tena nitatembea na cd za mimbo ya Dini...
 
Sikiliza moyo wako, kama unampenda mtongoze tu
 
Kama mama mkwe katoa go ahead... Fanya yako haina lawama hiyo...
 
Habari za mida ndugu zangu wakubwa shikamooni. Kijana nakuja kwenu nahitaji msaada wenu wa kimawazo.

Kuna mama mmoja tumejuana kupitia mambo ya kanisa ambaye niliunganishwa naye kutoka kwa rafiki yangu baada ya yule mama computer yake kuwa na hitilafu akawa anahitaji mtaalamu baada ya kuhangaika nayo sana ndo akanipata mimi kupitia rafiki yangu Mungu alisaidia tatizo nikalitatua halikuwa kubwa sana sema mafundi wakishindwa kutambua tatizo ni nini.

Baada ya hapo mama akatokea kunizoea nami nikamzoea pia tukaishi kwa kuheshimiana kama mama na mwanae nashauri mambo mengi ya kiutaalamu pia ananishauri mambo mengi ya kimaisha nafurahia uhusiano wetu.

Uyo mama ana watoto wanne wa kiume mmoja na mabinti watatu. Kuna binti yake wa tatu kamaliza diploma mambo ya kilimo mlokole sana kwa kweli mzuri msitaarabu sana mama yake ananilazimisha nimtongoze awe mpenzi wangu anadai anatamani sana niwe mkwe wake na anadai binti yake ananifaa na kweli ananifaa yapata wiki ya tatu ananiambia ayo maneno nashindwa nifanyeje ntaanza vipi na nini kitakuwa hatima ya uhusiano wangu na uyo mama.

Naombeni ushauri wana JF sijui nifanye nini?
Wewe si umeshaambiwa cha kufanya. Sasa unashindwa nini?!
 
Yaani kuwatambua member wengi walio ingia jf 2016/2017 utawajua kwa thread zao tuu,ingawa vipo vichwaadimu pia,ila ni mmoja kwa uwiano wa kumi
 
Kwa taarifa yako nna id nne nkipigwa ban moja naamia nyngne nimeanza kutumia jf tangu inaitwa jambo forum miaka ya 2008------
 
Ma mkwe anataka kusuguliwa tu... tongoza lakini chamoto utakiona..
 
Back
Top Bottom