Ananilazimisha nimtongoze binti yake mlokole

Habari za mida ndugu zangu wakubwa shikamooni. Kijana nakuja kwenu nahitaji msaada wenu wa kimawazo.

Kuna mama mmoja tumejuana kupitia mambo ya kanisa ambaye niliunganishwa naye kutoka kwa rafiki yangu baada ya yule mama computer yake kuwa na hitilafu akawa anahitaji mtaalamu baada ya kuhangaika nayo sana ndo akanipata mimi kupitia rafiki yangu Mungu alisaidia tatizo nikalitatua halikuwa kubwa sana sema mafundi wakishindwa kutambua tatizo ni nini.

Baada ya hapo mama akatokea kunizoea nami nikamzoea pia tukaishi kwa kuheshimiana kama mama na mwanae nashauri mambo mengi ya kiutaalamu pia ananishauri mambo mengi ya kimaisha nafurahia uhusiano wetu.

Uyo mama ana watoto wanne wa kiume mmoja na mabinti watatu. Kuna binti yake wa tatu kamaliza diploma mambo ya kilimo mlokole sana kwa kweli mzuri msitaarabu sana mama yake ananilazimisha nimtongoze awe mpenzi wangu anadai anatamani sana niwe mkwe wake na anadai binti yake ananifaa na kweli ananifaa yapata wiki ya tatu ananiambia ayo maneno nashindwa nifanyeje ntaanza vipi na nini kitakuwa hatima ya uhusiano wangu na uyo mama.

Naombeni ushauri wana JF sijui nifanye nini?
Mkuu nipasie shemeji yako anayetangulia kabla ya mchumba wako..!
 
Tulia na mpenzi wako achana na hao walokole jina .
 
Kuna wakati nashindwa kuamini hili jukwaa ni la watu wazima ( over 18) au la chekechea !!

Unakuta mtu anaomba ushauri eti binti X ni muathirika, lkn anataka tutembee pekua sasa wanajamvi naomba ushauri !! $%^*)*&^
hahaha.... umeongea ukweli
 
Lakini siyo kila mzigo una ubora ukizingatia maswala ya mapenzi yanataka utulivu
hama kweli kazi ipo! yaan mpaka mama anaamua kukuambia ina maana alishaona ww ni winga butu! bado mama kawa jasiri kukuambia unatafuta ushauri!!!! hapa tatizo lipo sio bure
 
I mean kwa huyo binti,unaweza kuuziwa mbuzi kwenye gunia shekh
 
Mpenzi ninae ila kuna sifa zinapelea kwake ukimlinganisha na uyo, na uyo binti ni mzuri ana kila sifa ya kupendwa na yeyote ila sikumpenda before kutokana na tibia zake za kilokole pia nimekuwa kama family friend wao wananiona kama kaka yao
Dah sikuelewi mkuu..
 
Back
Top Bottom