Ananiboa, Eti masturbation inamtosha......!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ananiboa, Eti masturbation inamtosha......!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Sajenti, Jan 4, 2010.

 1. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #1
  Jan 4, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Nina demu wangu niko nae kwa mwaka wa pili sasa. siku za karibuni amenijia na suala jipya kiasi ananichanganya. Ni mara ya tatu sasa kila ninapotaka kummega anadai hajisikii hamu, mwanzo nilidhani ni uchovu wa kazi zake, lakini baada ya kumsumbua sana akadai kuwa yeye hujichua kiasi ambacho anapokuwa na mimi hamu ya kufanya mapenzi huwa inatoweka. Lakini demu nampenda sana hata anachonieleza naona kama ananivunga huenda amepata jamaa lingine. Simuelewi kabisa....
   
 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  Jan 4, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Naona unashindwa kumuandaa jaribu kumfanyia mahesabu.
  Ukiona bado unachemka piga Valuu naona utamkuna kunako maana inaonyesha uwezo wako mdogo.
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Jan 4, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Achana na mjinga huyo..

  Kujichua ni message kwako kwamba huna lolote wala chochote, na humtoshelezi....huh!
   
 4. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #4
  Jan 4, 2010
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  umemuuliza kwa nn ajichue na wakati wewe upo? inaonekana kuna tatizo hapo kaka huenda hujampa mambo yakamkuna kisawasawa,jaribu kumbembeleza tena na akikubali tu hakikisha unampa vitu tofauti kabisa,
  kama sio matatizo mengine basi atakutafuta mwenyewe huyo next time
   
 5. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #5
  Jan 4, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ..Mkuu na wengine mliochangia hapa. suala kuwa simfikishi si kweli kwani katika muda niliokuwa nae alipata shughuli anayostahili kiasi kwamba alikiri kwa mdomo wake kuwa moto ninaompelekea ni kiwango. Katika mazungumzo yetu niliwahi kumbana sana kwa maswali kwa nini anajichua na mimi nipo akadai kuwa alijifunza kupitia videos na story za rafiki zake. Lakini nikamuuliza unadhani unachofanya ni sahihi akadai kwa akili yake ni sawa!!!! Very strange!!!!
   
 6. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #6
  Jan 4, 2010
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145

  kama ni hivyo anapaswa kufanyiwa counselling ya psychology kaka,hiyo itakuwa imemuathiri kama wanavyosema kwkenye masturbation kwa mtoto wa kiume,akiwa amezoea kufanya hivyo kwa muda mrefu anakuwa addicted so hata akija kuoa ataendelea tu kufanya punyeto
   
 7. bht

  bht JF-Expert Member

  #7
  Jan 4, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  very true huyo dada atakuwa mwathirika wa 'mastabesheni' mtafutie washauri!! naskia hiyo kitu ukizoea mwanaume hatakutosheleza....side effect yake ndo hiyoooo!!!
   
 8. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #8
  Jan 4, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Zegere, unajua kinachonistaajabisha ni demu mwenyewe. anyway ni binadamu wa kawaida tu lakini ni mtu aliyekwenda shule na amepata exposure ya kutosha kiasi kwamba sikutarajia kama angekuwa mwepesi kudaka mambo kama hayo na kuyaweka akili kiasi hicho. Mh!! Mkuu ndio natoka kibaruani nina mihadi naye sehemu lakini ni hii imenikoroga kabisa.
   
 9. Radical

  Radical JF-Expert Member

  #9
  Jan 4, 2010
  Joined: Jun 3, 2009
  Messages: 374
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Maybe alikuwa anakupa moyo tu ili usimuhoji sana! Mpe cha mbavu!
   
 10. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #10
  Jan 4, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  valuu ni kitu gani?
   
 11. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #11
  Jan 4, 2010
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  hata mtoto wa kimue pia akishazoea basi mwanamke hawezi kumtosheleza,ataona kama iko losse hata kama na...... haijatanuka kivile,lakini kwa sababu yeye atajipimia size ya kutight mb...o yake ili apate mshindo haraka,hiyo ndio itamwathiri mwanamke amuone si kitu,pia atakuwa anamalizaa haraka kwa hiyo hawezi kumfikisha mke kunako
   
 12. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #12
  Jan 4, 2010
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145

  yes,inawezekana ana exposure ya kutosha lakini hayuko practically, i mean hakuwa anafanya mapenzi badala yake ndio akawa anjiridhisha mwenyewe kwa nanma hiyo,thats y hata alipokupata wewe ile hali bado anaendelea nayo, jaribu kumhoji sana ebu ujue alianza lini kufanya hivyo then unaweza kujua kama imemuathiri kwa kiasi gani
  otherwise inabidi utafute ushauri wa kumfanya arudishe hamu ya kufanya ngono,si wote waliokuwa exposed mashuleni wanafanya ngono,ingawa si rahisi pia kuwakuta watulivu kwa dunia ya sasa
   
 13. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #13
  Jan 4, 2010
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...ha ha, uwazi na ukweli mtupu
   
 14. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #14
  Jan 4, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Bwana weh, huyo yuko Next Level kingono, inawezekana ulimridhisha mwanzo lakini kapata style au mtu mpya, tena na hayo ya kuangalia video na rafiki zake you have to be very scared, hiyo kampani yake si nzuri hata kidogo.

  She is on another level and you havent reached it
   
 15. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #15
  Jan 4, 2010
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...ndivyo walivyo kaka, wakishachoka ku 'fake Orgasm', huja na vijisababu hivi...
   
 16. ZionTZ

  ZionTZ JF-Expert Member

  #16
  Jan 4, 2010
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,276
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160

  what if huyo shemeji kaanza tabia ya kuji-xpress?? hiyo tabia imeenea sana town hapa nowadays...anaweza kuwa nashindwa kukuambia tu.....! ile tabia ni mbaya sana kiasi kwamba humfanya mtu akose hamu ya sehemu ya kawaida.

  athari ya kujichua kwa mwanamke si kubwa kama kwa mwanaume...

  chunguza mkuu...
   
 17. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #17
  Jan 5, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  wewe ndio unamboa. Try cunnilingus and analingus (consult a dictionary). Make sure she is damn clean. Atajuta kwanini hukumfanyia hiyo orientation mapema
   
 18. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #18
  Jan 5, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Ah! Mziwanda!
   
 19. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #19
  Jan 5, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Thats Mbu, as usual!
  Da, mi hapa sina comment jamani. kuna mambo dunia hii.
   
 20. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #20
  Jan 5, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  plse comment smthng.....
   
Loading...