Zulu man
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,132
- 13,628
hahahahDaaa,nimeogopa eti🤒🤣🤣🤣🤣🙌
hahahahDaaa,nimeogopa eti🤒🤣🤣🤣🤣🙌
"Sasa maisha ya humo ndani yashamshinda/amechoka na kuondoka hawezi mila zao hadi azae na huyo bwana tena mtoto wa kiume ndiyo atoke"Mfano,
Kuna binti alitolewa barua laki saba,mbuzi sijui na mablanket,
Mahari alitaja milion tatu,kwa wazazi
Na akachukuliwa kuishi na huyo bwana,
Sasa maisha ya humo ndani yashamshinda/amechoka na kuondoka hawezi mila zao hadi azae na huyo bwana tena mtoto wa kiume ndiyo atoke
Sasa mtu unateseka kisa wazazi wako walikula pesa za mahari, hii hapana
Ukweli mtupu.Kumsomesha ni wajibu wa mzazi, kwahiyo akimsomesha ndo aje alipwe kupitia mahali??
Nyie ndo wazazi wa hovyo mnaosomesha mtoto ili sio aje kua na maisha mazuri baadae bali aje kuwasaidia nyie na umaskini wenu mlioshindwa kujikwamua. Mnamuweka mtoto kama asset, asome aje awape hela nyie kindezi tu.
Isitoshe kuna room ya kuomba punguzo la mahari. Wengi tumeoa na mahari tumelipa kwa instalment. Huyo ni mzinzi tu kama alivyo huyo mchumba wake. Binti makini asingekubali kumegwa na mhuni huyo tena nje ya ndoa.Ungejua nafasi yako kama mwanaume unayetegemea kuanzisha familia itakayokutegema kama mkuu wa kaya kuna vitu ungevitazama kwa jicho la tofauti sana.
Yaani umemchambua binti watu kiasi hicho!? Hapo kisa sio mahari tuu! Hayo maneno yameonyesha ulivyo na roho chungu na mbinafsi.
Kama hakufai si umwache? Au ukiambiwa umwoe bila mahari ndio unamwona mwanamke bora??
Tafuta wakubwa wakueleze maana ya mahari watakuambia Mahari ni kipimo cha kujua kama mwanaume yuko tayari kubeba jukumu la ndoa na familia.
Halafu ukiwa mwanaume ukapangiwa mahari kitendo cha kuikubali tuu ni alama tosha kwamba wewe ni mwanaume mwenye kujielewa, mpambanaji na mpiganaji. Mahari unaweza kulipa yote mahari unaweza lipa kwa awamu.
Halafu, Kama mahari imekushinda utaweza kulea mke na watoto?
Sijui, mila yao ndiyo hiyo,ukila mahari na ndoa imekushinda hauondoki hadi uzae tena wa kiume."Sasa maisha ya humo ndani yashamshinda/amechoka na kuondoka hawezi mila zao hadi azae na huyo bwana tena mtoto wa kiume ndiyo atoke"
Hio mila nzuri sana hakuna kuachana mpaka unizalie tena mtoto wa kiume dadeki
Ina maana ila kabila lina uhaba wa wanaume au?
Mzazi aliweza kumlipia ada m2 kwa mwaka mwanawe una mwita maskini,Kumsomesha ni wajibu wa mzazi, kwahiyo akimsomesha ndo aje alipwe kupitia mahali??
Nyie ndo wazazi wa hovyo mnaosomesha mtoto ili sio aje kua na maisha mazuri baadae bali aje kuwasaidia nyie na umaskini wenu mlioshindwa kujikwamua. Mnamuweka mtoto kama asset, asome aje awape hela nyie kindezi tu.
Kwani hiyo kazi anayoifanya mshahara anapokea mmewe?Hivi wewe pimbi unajua gharama ya kumsomesha mtoto wa kike mpaka umemkuta anafanya kazi!
Kwani hiyo kazi anayoifanya mshahara anapokea mmewe?
Unachotetea ni nini sasa?? Mbona hujielewi we dogo.Mzazi aliweza kumlipia ada m2 kwa mwaka mwanawe una mwita maskini,
Wewe ndiyo lofa unayeona m5 ni big Hela fala wewe!!!
Wiki iliyopita nilikuwa kwa send-off bwana harusi alikuwa amelipa mahari m8,
Ila baba Binti alitoa zawadi ya nyumba mpya yenye thamani ya m100 na hati ilionyeshwa live majina Yao wote wawili!
Acha ushamba na mawazo ya kimaskini kama ulipotokea
mtu mzima wewe, mada nzito hii unaandika upumbavu....Mahari analipiwa Bikra tuu, used tia mimba alafu piga kimnya utatafutwa .
Maisha ni shortcut
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Yes Poor Africans want to get money through their daughters. Nani alikwambia mke ni bidhaa anauzwa? Ungeshangaa kama ningetaka Ng'ombe au Mbuzi bure.Unataka mke wa Bure?
Poor Africans
Kama huna sauti huna tu. Mimi nakataa kutoa mahari. Na nimempa options mbili.Ulianza vizuri ila umemaliza vibaya. Mahari inakupa ufahari flani hivi huwezi ufahamu mpaka uwe mwanaume kamili.
Mahari na makorombwezo yake yasizidi mil 2.
Ukishatoa mahari unakua na sauti kamili kwa mkeo. Sio unabeba binti wa watu bila mahari kisha akienda kwao kusalimia kidogo tu unaanza leta masharti ya kumpangia siku ya kurudi.
Huyo binti haujampenda umemtumia weee umemchoka umanza kumletea pigo za haukumkuta bikra,mbona kabla ya kuongelea ndoa haukumuuliza masuala ya bikra
Acha tu achague atakacho. Kuoa si lazima.Yaaan inasikitishaaa...mwanaumee anakauli ngumu hivyoo wa Nini sasa?...hiyo ndoa itakuwajee ni wakuogopwaa aisee
Inabidi uletewe mau yako mapema.Je nimemkuta bikra? Akainamisha kichwa chini. Je mashine yake ina regulate joto au ni adjustable?