Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,987
- 156,261
Mungu kanijalia mifugo mingi kiasi ambayo iko eneo la Buyuni kata ya Pemba Mnazi, Tarafa ya Kigamboni ambako ndiko shamba langu liliko.
Jirani ya shamba langu kuna msikiti na sheikh mmoja anaishi hapo msikitini.
sheikh huyo amekuwa akimsumbua kijana wangu kwa kumtongoza na kumuomba wawe wanafanya mapenzi (wote wawili ni wanaume).
Kijana wangu amekataa lakini sheikh anaendelea kumfuatilia, je nifanyeje ili kumkomesha sheikh na hiyo tabia, maana kijana wangu anatishia kuacha kazi iwapo sheikh ataendelea kumtongoza.