Anamtongoza kijana wangu wa ng'ombe

Bujibuji Simba Nyanaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
62,502
2,000
Mungu kanijalia mifugo mingi kiasi ambayo iko eneo la Buyuni kata ya Pemba Mnazi, Tarafa ya Kigamboni ambako ndiko shamba langu liliko.
Jirani ya shamba langu kuna msikiti na sheikh mmoja anaishi hapo msikitini.
sheikh huyo amekuwa akimsumbua kijana wangu kwa kumtongoza na kumuomba wawe wanafanya mapenzi (wote wawili ni wanaume).
Kijana wangu amekataa lakini sheikh anaendelea kumfuatilia, je nifanyeje ili kumkomesha sheikh na hiyo tabia, maana kijana wangu anatishia kuacha kazi iwapo sheikh ataendelea kumtongoza.
 

Lizzy

JF-Expert Member
May 25, 2009
24,953
2,000
Duh!!Ana balaa kweli!!
Nenda kampige biti ajue umejua labda atakoma!!
 

Dena Amsi

R I P
Aug 17, 2010
13,092
1,250
Ha ha ha ha jamani tunaelekea wapi sasa?? Mwambie huyo kijana wako ampotezee kwani atambaka??? Na akimuona akae mbali nae na ikibidi hata asimsalimie kabisa hata kama ni mzee kwake amchunilie kwa mbali?? Kakosa wanawake huyo sheikh jamani mbona wapo wa kumwaga tu kama anataka T**** mbona zipo tu akachukue kwa bei anayotaka asije mwaribu kijana wako Mikela kaa nae chini mweleze asimsogelee kabisa akimuona abadili njia wazee wengine bwana hawana hata haya jamani aaahghh hii dunia imekwisha kwa kweli
 

Dena Amsi

R I P
Aug 17, 2010
13,092
1,250
Halafu pia wewe mwenyewe nenda umweleze umeshajua njama zake so akijua ameshakwambia na umejua atapunguza makali
 

Bujibuji Simba Nyanaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
62,502
2,000
Nimejaribu kumfuata sheikh ili kumkanya akome hiyo tabia yake chafu, lakini kila akiona nimepaki gari huwa anakimbia kujificha.
Jumamosi nataka gari niliache mbali na shamba , ili nikampe shule
Duh!!Ana balaa kweli!!
Nenda kampige biti ajue umejua labda atakoma!!
 

Sinkala

JF-Expert Member
Dec 22, 2008
1,505
1,500
Andaa mtego. Uwe na camera kabisa na walau mwandishi mmoja wa udaku awepo.
 

Rose1980

JF-Expert Member
May 10, 2010
5,687
0
kweli hatari ya denja
M,FATE MWAMBIE MADUDU YAKE
AKIJUA UMEJUA ATAACHA KM SI KUPUUZA
MWAMBIE KWA UFUP NA KWA KUMWELIMISHA NA KUMTISHIA KM, AKIENDELEA UTAMPELEKA POLIS
ATAACHA.
masheikh sjui manani....wna matatizo na i kitu ennh?mwanaharamu mkubwa uyo!!!!
 

TUKUTUKU

JF-Expert Member
Sep 14, 2010
11,775
2,000
Haya ni mawazo mgando kabisa!jamaa muda wote yeye anawaza TIGO tu hii ni balaa!
 

TUKUTUKU

JF-Expert Member
Sep 14, 2010
11,775
2,000
hii thread kama ina udini hivi???

Udini unatoka wapi?siku za hivi karibuni tulikuwa tunaongelea padri aliyebaka,vipi masheh wapenda TIGO wakizungumziwa unaoanisha na udini?Vipi mambo aliyoyafanya padri kimaro pale chuo kikuu cha Dar es salaam?mbona haukuwa udini?wewe ni mbumbumbu kabisa hujui unapotoka na unapoelekea!
 

Bujibuji Simba Nyanaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
62,502
2,000
Nimemtoa kijijini kwetu kamsamba, ni mshamba haswaaaa hana mvuto wowote, ni mchafu ile mbaya, namshangaa hata huyo sheikh anababaishwa na nini? mi nadhani ni hulka na tamaa zake mbovu ndizo zinazopelekea kumtyamani mchunga ng'ombe
labda huyo mkata majani ana mvuto fulani hivi wa kichoko
 

Dena Amsi

R I P
Aug 17, 2010
13,092
1,250
Udini unatoka wapi?siku za hivi karibuni tulikuwa tunaongelea padri aliyebaka,vipi masheh wapenda TIGO wakizungumziwa unaoanisha na udini?Vipi mambo aliyoyafanya padri kimaro pale chuo kikuu cha Dar es salaam?mbona haukuwa udini?wewe ni mbumbumbu kabisa hujui unapotoka na unapoelekea!

Tukutuku lugha hii kama kali vileeeee!!!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom