Bess
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 542
- 649
Nilidhani atakuwa chachu ya kuwatafutia vijana ajira; 2/3 ya ajira za US citizens huko Marekani zinatokana na ajira binafsi, kwamba sekta zilizoanzishwa na watu wenye akili nyingi (investors) zinawapa chakula wengine; nadhani ndio maana wana mfululizo wa billionaires kuwa POTUS; hapa kwetu mpiga mdomo mzuri kama jamaa yetu ambaye najua hajachangia hata 0.00000001% ya ajira binafsi anaitwa ana akili nyingi
Huko uingereza, Office of National Statistics iliripoti mwaka 2018 kwamba ajira katika sekta za umma imeshuka hadi 16% na kuishukuru sekta binafsi kuajiri takribani 84% ya Brits. Tukumbuke sekta binafsi ni akili binafsi (ninaziita akili nyingi) zilizoamua kuwekeza na kuajiri watu wengine; hapa kwetu mtu anayejua kupangilia maneno na matusi kwa watawala tunamuita mwenye akili nyingi
Hapa kwetu, badala ya akili nyingi (za hao tunaosifia wana akili kuzidi wengine) kutumika ku-manipulate mazingira na rasilimali zake kwa faida ya mtanzania, zinatumika kutukana, kudharau, kuona kila kitu kinachofanywa ni kibaya.
Nilidhani atakuja na mawazo mapya ya jinsi ya ku-exploit resources ambazo tunazo Tz; yeye anakuja na akili za kisheria za wale tulio ona hawafai kutuongoza(Waingereza, wajerumani); hapa nashindwa kumtofautisha na zile products tegemewa za elimu ya mkoloni(expected outputs of colonial education), ku-feed brain ya muafrika ili; aidha elimu aliyopata ashindwe kutumia rasilimali zake ama awe kinyume na wenzake. Nadhani akili nzuri ni ile inayotatua changamoto za mazingira yako, sio changamoto za mazingira mengine
Licha ya yote, namtakia afya njema na kumpa pole na maswahibu yaliyompata, japo akirudi abadilike na awe chachu ya maendeleo Tanzania; akili nyingi ziwe za msaada kwa wengine hasa zinazoendana na mazingira yetu..