Analysis: Akili nyingi za Tundu Lissu ni akili kiduchu kwa mazingira yetu

Unajua kuficha ujinga huwa ni aina mojawapo ya busara, umetudhihirishia ujinga wako kwa kujitakia mwenyewe japo nadhani kwa kukosa ufahamu haukujua ya kuwa upupu uliomwaga hapo ni upumbavu usio kifani.
Unafahamu kilichompeleka ni matibabu? Serikali iliyojaa wasomi na resources na yenye wajibu wa kutafutia vijana ajira inashindwa unategemea Lissu ndiyo aifanyie kazi kama 'good Samaritan'? Yaani mtu mmoja kisa tu ameitwa akili nyingi basi abebe majukumu ambayo the whole fucking government wameyashindwa? Uko sawa kichwani kweli?
Kuwajibu hawa watu ni kujichosha wamekuwa watu wa kuhamisha magoli eti Ajira nanlisu wapi na wapi ccm iko hapo miaka 30 hata kingereza kimetushinda
 
We kwel akili kisoda bichwa tembo. Hii inamaana babu zako ba wazee wako kule nanjilinji wote akili ndogo kwasababu hawakuwa matajiri. Kwa Uzi wako unataka kusema maprofesa na madakitari wote wasiotoa ajira n akili ndogo. Hebu kakojoe ulale
umejibu hoja ama? You seem to have passed through education, Yes.., but not allowing it to pass through you.... (Kama elimu unayo ulipitia tu darasani, hukuruhusu ikupitie);

kinyume na hapo ni ule-ule mfululilizo wa mazao ya elimu yetu, haitufanyi tufikiri na hivyo kupelekea kurithi hasira za mababu zetu za-kuwa na makapu ya matusi na kukosa fikra za kuzuia kutawaliwa
 
Sasa TL aliwakumbusha kuhusu acacia tu hivi unajua wangapi wamekosa ajira kwa sakata la acacia, wa Buli na Buzwagi ni zaidi ya 5000 hizi ni direct Sasa multiplier effects yake ni ajira zaidi ya 50,000.

Kikokotoo kilikuwa kinazalisha wajasiriamali wangapi na hao wote wanasotea pension nssf zaidi ya mwaka hizo ni 50,000.

Uvuvi mmeutia doa na kuweka bench zaidi ya ajira 1millioni mpaka mnapopata akili leo tayari watu wameshachochola.

Kilimo chenye 70% ebu mtuache kwanza, mmalizieni wale mliowaumiza na kuwatia kwenye viroba kumfurahisha jiwe
 
..GENIUS huyu hapa.

..sikilizeni pointi anazotoa na jinsi alivyo na ushawishi.



..alipofungua mkutano wa sadc alizungumza kiswahili.

..sikutegemea atakuja kuzungumza Kiingereza ktk mkutano huu.

..sasa huu ukigeugeu mara kiswahili, halafu kiingereza, unatufanya nchi nzima tuonekane ni kichekesho / kituko.

Huyu mtu sijui ni kwanini siku za hivi karibuni amekuwa ktk hotuba zake "akichomekea" ishu ya kuhamasisha uzinzi na uasherati....

Hajui kuwa wengi kama siyo wote wa wajumbe wa mkutano huo ni WAUME ama WAKE za watu?

Sina hakika kama kuchomeka huu unaoitwa 'utani" (mimi nauita ni ujinga) ktk hafla ya mkutano muhimu kama huo ilikuwa ni sahihi.....

Alifanya hivi wakati ule wa dhahabu za Kenyatta kwa kumuita waziri wa mwenzake yule mama "una waziri mzuri sana..!" ktk uelekeo huu huu wa kingono....

Ama kweli mtu hunena yaliyoujaza moyo wake...

This is too bad!!
 
Sasa TL aliwakumbusha kuhusu acacia tu hivi unajua wangapi wamekosa ajira kwa sakata la acacia, wa Buli na Buzwagi ni zaidi ya 5000 hizi ni direct Sasa multiplier effects yake ni ajira zaidi ya 50,000.

Kikokotoo kilikuwa kinazalisha wajasiriamali wangapi na hao wote wanasotea pension nssf zaidi ya mwaka hizo ni 50,000.

Uvuvi mmeutia doa na kuweka bench zaidi ya ajira 1millioni mpaka mnapopata akili leo tayari watu wameshachochola.

Kilimo chenye 70% ebu mtuache kwanza, mmalizieni wale mliowaumiza na kuwatia kwenye viroba kumfurahisha jiwe
hata kasuku tungemjaza maneno angepiga hizo kelele, hoja ni kwamba amekuwa sehemu ya mabadiliko ama anasimama nje ya hayo mabadiliko? Mpiga kelele siku zote anasubiri 'changes' bila kuwa sehemu ya kuleta hizo 'changes'....
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom