YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,906
- 51,924
Wasomi wetu Ni WASEMA SOLUTION Sio WATOA SOLUTION.Mfano Sasa hivi Kuna tatizo la ajira badala ya wao kutoa solution yaani kutoa ajira wao Kama wasomi wao wanaongelea tatizo la ukosefu wa ajira!! Kuliondoa SI waajiri. Wanachonga midomo Sana kwenye lakini kwenye practice wako zero.Akili nyingi za wasomi wetu hazina msaada kwa watu wenye kustahili kuzitumia.
Pale ubungo kile kipita shoto cha dharula wakati ikiendelea kujengwa flyover, wasomi wetu hawana uwezo wa kubuni kitu kama kile.
Kazi Yao ni malalamiko kejeli na bezo wanapokuwa ndani ya studio za vituo vya runinga.