Analysis: Akili nyingi za Tundu Lissu ni akili kiduchu kwa mazingira yetu

Bess

JF-Expert Member
Oct 4, 2016
542
649
Nilidhani atakuwa chachu ya kuwatafutia vijana ajira; 2/3 ya ajira za US citizens huko Marekani zinatokana na ajira binafsi, kwamba sekta zilizoanzishwa na watu wenye akili nyingi (investors) zinawapa chakula wengine; nadhani ndio maana wana mfululizo wa billionaires kuwa POTUS; hapa kwetu mpiga mdomo mzuri kama jamaa yetu ambaye najua hajachangia hata 0.00000001% ya ajira binafsi anaitwa ana akili nyingi

Huko uingereza, Office of National Statistics iliripoti mwaka 2018 kwamba ajira katika sekta za umma imeshuka hadi 16% na kuishukuru sekta binafsi kuajiri takribani 84% ya Brits. Tukumbuke sekta binafsi ni akili binafsi (ninaziita akili nyingi) zilizoamua kuwekeza na kuajiri watu wengine; hapa kwetu mtu anayejua kupangilia maneno na matusi kwa watawala tunamuita mwenye akili nyingi

Hapa kwetu, badala ya akili nyingi (za hao tunaosifia wana akili kuzidi wengine) kutumika ku-manipulate mazingira na rasilimali zake kwa faida ya mtanzania, zinatumika kutukana, kudharau, kuona kila kitu kinachofanywa ni kibaya.

Nilidhani atakuja na mawazo mapya ya jinsi ya ku-exploit resources ambazo tunazo Tz; yeye anakuja na akili za kisheria za wale tulio ona hawafai kutuongoza(Waingereza, wajerumani); hapa nashindwa kumtofautisha na zile products tegemewa za elimu ya mkoloni(expected outputs of colonial education), ku-feed brain ya muafrika ili; aidha elimu aliyopata ashindwe kutumia rasilimali zake ama awe kinyume na wenzake. Nadhani akili nzuri ni ile inayotatua changamoto za mazingira yako, sio changamoto za mazingira mengine

Licha ya yote, namtakia afya njema na kumpa pole na maswahibu yaliyompata, japo akirudi abadilike na awe chachu ya maendeleo Tanzania; akili nyingi ziwe za msaada kwa wengine hasa zinazoendana na mazingira yetu..
 
Lisu hana jipya ndugu yangu, nae ni mchumia tumbo tu,kelele zote za BBC ,VOA mara sijui kakutanana na nani kumbe ni kelele za debe tupu,ila akija atashangaa tu barabara nzuri,madaraja mazuri,Ndege mpya,reli mpya.Tunamkaribisha aje ashangae maendeleo yaliyopatikana katika muda mfupi
 
Mpe kura yako 2020 uone atakavyoifanyia nchi hii makubwa.
Uzi umejikita hasa kuangalia uwezo wake wa akili (zinazotajwa nyingi) kuhudumia watanzania, naona he is just an ordinary citizen, hana hoja ya ajabu kuonesha maajabu atakayowafanyia waTanzania
 
Nilidhani atakuwa chachu ya kuwatafutia vijana ajira; 2/3 ya ajira za US citizens huko Marekani zinatokana na ajira binafsi, kwamba sekta zilizoanzishwa na watu wenye akili nyingi (investors) zinawapa chakula wengine; nadhani ndio maana wana mfululizo wa billionaires kuwa POTUS; hapa kwetu mpiga mdomo mzuri kama jamaa yetu ambaye najua hajachangia hata 0.00000001% ya ajira binafsi anaitwa ana akili nyingi

Huko uingereza, Office of National Statistics iliripoti mwaka 2018 kwamba ajira katika sekta za umma imeshuka hadi 16% na kuishukuru sekta binafsi kuajiri takribani 84% ya Brits. Tukumbuke sekta binafsi ni akili binafsi (ninaziita akili nyingi) zilizoamua kuwekeza na kuajiri watu wengine; hapa kwetu mtu anayejua kupangilia maneno na matusi kwa watawala tunamuita mwenye akili nyingi

Hapa kwetu, badala ya akili nyingi (za hao tunaosifia wana akili kuzidi wengine) kutumika ku-manipulate mazingira na rasilimali zake kwa faida ya mtanzania, zinatumika kutukana, kudharau, kuona kila kitu kinachofanywa ni kibaya.

Nilidhani atakuja na mawazo mapya ya jinsi ya ku-exploit resources ambazo tunazo Tz; yeye anakuja na akili za kisheria za wale tulio ona hawafai kutuongoza(Waingereza, wajerumani); hapa nashindwa kumtofautisha na zile products tegemewa za elimu ya mkoloni(expected outputs of colonial education), ku-feed brain ya muafrika ili; aidha elimu aliyopata ashindwe kutumia rasilimali zake ama awe kinyume na wenzake. Nadhani akili nzuri ni ile inayotatua changamoto za mazingira yako, sio changamoto za mazingira mengine

Licha ya yote, namtakia afya njema na kumpa pole na maswahibu yaliyompata, japo akirudi abadilike na awe chachu ya maendeleo Tanzania; akili nyingi ziwe za msaada kwa wengine hasa zinazoendana na mazingira yetu..

Ni Upumbavu Kumjadili au Kumzungumzia ' Genius ' Tundu Lissu wakati unajijua kabisa Wewe ni Mpumbavu Mwandamizi.
 
Hivi kule america ccm yamagufuli haina balozi kule.nyie mbona mnatutilia aibu,huyu MTU alikua kutibiwa siokuombea watu ajira
 
Nilidhani atakuwa chachu ya kuwatafutia vijana ajira; 2/3 ya ajira za US citizens huko Marekani zinatokana na ajira binafsi, kwamba sekta zilizoanzishwa na watu wenye akili nyingi (investors) zinawapa chakula wengine; nadhani ndio maana wana mfululizo wa billionaires kuwa POTUS; hapa kwetu mpiga mdomo mzuri kama jamaa yetu ambaye najua hajachangia hata 0.00000001% ya ajira binafsi anaitwa ana akili nyingi
Kweli Mwalimu angekuwepo akaona haya asingeamini macho yake.... Kwahio unadhani people should be elected by the power of their wallet ?.., na hii kujidanganya kwamba the wealthy.., will accumulate the wealth and it will trickle down to have nots is a misconception it will just increase the gap between have and the have nots...

Nilidhani atakuwa chachu ya kuwatafutia vijana ajira; 2/3 ya ajira za US citizens huko Marekani zinatokana na ajira binafsi, kwamba sekta zilizoanzishwa na watu wenye akili nyingi (investors) zinawapa chakula wengine; nadhani ndio maana wana mfululizo wa billionaires kuwa POTUS; hapa kwetu mpiga mdomo mzuri kama jamaa yetu ambaye najua hajachangia hata 0.00000001% ya ajira binafsi anaitwa ana akili nyingi

Huko uingereza, Office of National Statistics iliripoti mwaka 2018 kwamba ajira katika sekta za umma imeshuka hadi 16% na kuishukuru sekta binafsi kuajiri takribani 84% ya Brits. Tukumbuke sekta binafsi ni akili binafsi (ninaziita akili nyingi) zilizoamua kuwekeza na kuajiri watu wengine; hapa kwetu mtu anayejua kupangilia maneno na matusi kwa watawala tunamuita mwenye akili nyingi

Hapa kwetu, badala ya akili nyingi (za hao tunaosifia wana akili kuzidi wengine) kutumika ku-manipulate mazingira na rasilimali zake kwa faida ya mtanzania, zinatumika kutukana, kudharau, kuona kila kitu kinachofanywa ni kibaya.

Nilidhani atakuja na mawazo mapya ya jinsi ya ku-exploit resources ambazo tunazo Tz; yeye anakuja na akili za kisheria za wale tulio ona hawafai kutuongoza(Waingereza, wajerumani); hapa nashindwa kumtofautisha na zile products tegemewa za elimu ya mkoloni(expected outputs of colonial education), ku-feed brain ya muafrika ili; aidha elimu aliyopata ashindwe kutumia rasilimali zake ama awe kinyume na wenzake. Nadhani akili nzuri ni ile inayotatua changamoto za mazingira yako, sio changamoto za mazingira mengine

Licha ya yote, namtakia afya njema na kumpa pole na maswahibu yaliyompata, japo akirudi abadilike na awe chachu ya maendeleo Tanzania; akili nyingi ziwe za msaada kwa wengine hasa zinazoendana na mazingira yetu..
Unajua kuficha ujinga huwa ni aina mojawapo ya busara, umetudhihirishia ujinga wako kwa kujitakia mwenyewe japo nadhani kwa kukosa ufahamu haukujua ya kuwa upupu uliomwaga hapo ni upumbavu usio kifani.
Unafahamu kilichompeleka ni matibabu? Serikali iliyojaa wasomi na resources na yenye wajibu wa kutafutia vijana ajira inashindwa unategemea Lissu ndiyo aifanyie kazi kama 'good Samaritan'? Yaani mtu mmoja kisa tu ameitwa akili nyingi basi abebe majukumu ambayo the whole fucking government wameyashindwa? Uko sawa kichwani kweli?
 
Mmh....! Nimecheka mpaka nikaishiwa pumzi, mmemsimanga sana mpaka kajikakamua kukiingish kiinglish.

..alipofungua mkutano wa sadc alizungumza kiswahili.

..sikutegemea atakuja kuzungumza Kiingereza ktk mkutano huu.

..sasa huu ukigeugeu mara kiswahili, halafu kiingereza, unatufanya nchi nzima tuonekane ni kichekesho / kituko.
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom