dindilichuma
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 1,637
- 2,496
Ili uwe Naakili Huku Afrika unapaswa kuwa na akili zinazoweza unafiki na umbeya na kukariri masomo ya darasani kama roboti hayo ndio mazingira yetu.
Aliye mmbeya zaidi na mnafiki wa kiwango cha juu Anakua anasemekana anaakili zaidi. Uwezo tu wakuteka hisia za Watu ambao wengi hata uwezo wa kufikiri mdogo Sana na lengo kuu nikubaki kwenye madaraka au kupata madaraka.
Kuna watu bado wanafikiri wanasiasa wanajitolea kumbe Ile nikazi yao inawafanya wale, wajenge na watajirike.
Ukimchukua mtu kama Bakhresa kwangu Naona anaakili Sana Ila sasa sio mmbeya na hatafuti umaarufu hapo anaonekana anaakili chache na pia sio mwanasiasa Wala mwanaharakati ila anatatua shida za Maelfu ya Watu na hili halimfanyi aonekane sana na watanzania maana hafanyi umbeya na hakukariri masomo darasani.
Tunabaki na wanasiasa na silka yetu ya umbeya na kuwashabikia wanaotaka tuwashabikie kwa uzembe wetu Wa kufikiri