Upo sahihi rafiki..........mtoto na mtu yeyote hatakiwi kuwa 'anataka peace' hata kwa kubeba lawama za wengine...
why iwe hivyo? what is the fear?...isije kuwa kuna kitu alarming....
mfunze kuwa its okay kama kutatokea 'confrontation' pia sometimes...
asi suppress his true feelings always ili tu 'kuwe na peace'....
some confrontations zinaweza leta a more healthy relationships pia...
au aki surpress sana zitakuja siku 'kulipuka' ....unless i am not reading this right..
jamani, sasa naye ana maamuzi gani?
Inaniumaje mie
kuzungumza na watoto ni wajibu wa wazazi, tena zungumza nao as much as you can. wanahitaji kujua tunawawazia nini au tunahitaji nini toka kwao. Nao pia muwaruhusu kuzungumza na nyie. nina kakijana ka 5 years kanaweza kuja kanataka kuongea nawe, tena anakutoa faragha ili apate kuzungumza nawe jambo la maana. Utamfwata sehemu anayoona yeye inafaa kwa mazungumzo, mkifika hapo sasa anachokuambia utachoka. unawaza kama kulikuwa na umuhimu wa faragha au basi tu naye alitaka ajione alikutoa sehemu kwa mazungumzo.......Mmmmhhh, huwa unamkalisha na kuzungumza naye?
Sometimes naongea naye, sometimes nahisi nakompliketi mambo.
Napoteza uelekeo nahisi.Sijui nipunguze kuwa direktive?
Am troubled kwa kweli, ni nini hiki? Ndio watoto wa kiume mnakuwaga hivyo kwa mama zenu. Ndio mie ni mama mtata, ila ni rafiki wa wanangu. Sijui nakosea wapi, nataka aniambie kila kitu kama zamani. Hajafika hata 10yrs.
Can u run it through head for while..?!!!mwaya mie ni mdogo, hapa mmu mie mwa mwisho kuzaliwa.
Tatizo nyie wababa wakali sometimes. Kuna siku aliniambia, siwezi kubishana na baba hata iweje.
kuzungumza na watoto ni wajibu wa wazazi, tena zungumza nao as much as you can. wanahitaji kujua tunawawazia nini au tunahitaji nini toka kwao. Nao pia muwaruhusu kuzungumza na nyie. nina kakijana ka 5 years kanaweza kuja kanataka kuongea nawe, tena anakutoa faragha ili apate kuzungumza nawe jambo la maana. Utamfwata sehemu anayoona yeye inafaa kwa mazungumzo, mkifika hapo sasa anachokuambia utachoka. unawaza kama kulikuwa na umuhimu wa faragha au basi tu naye alitaka ajione alikutoa sehemu kwa mazungumzo.......
Tatizo nyie wababa wakali sometimes. Kuna siku aliniambia, siwezi kubishana na baba hata iweje.
Mi wangu anamuogopa baba ake vibaya,kila kitu ni kwangu,pole sana ila hebu mchunguze huenda ana tatizo,au huko shuleni ana rafiki mwny tabia hyo anamfundisha,mi nijuavyo mtt wa kiume rafiki yke mama,kukuficha kitu labda afike umri wa kubalehe na c umri huo alionao sasa,kuna tatizo hapo,chunguza tu!