Anakua? Uaminifu unapungua?

Anakua? Uaminifu unapungua?

nipe pole mie.

sio damu ya kikurya hiyo kongosho???

aisee nina mtoto wa kaka yangu, alianza ukorofi akiwa darasa la tatu, baba yake alikuwa mkali kama simba!

basi dogo kuanzia umri wa miaka 12 alikuwa anatoroka home na kulala nje hata siku nne, kiburi kilimjaa kama nini!

yawezekana pia ni matatizo ya generation ndugu, wahi kumkalisha mwanao chini mapema asije akakuzidi nguvu..

punguza utata usije ukampoteza zaidi mtoto!
 
Ni kweli hapendi kabisa kugombanisha watu. Nadhani mie niliharibu bila kujua.

Nikirudi alikuwa ananipa ripoti ya matukio home, mengine namfuata mhusika na kumgombeza. Ananiambia, mie nilikuambia tu sasa wewe unawagombeza tena. Little did i know he is growing up.

Sijui ndio sababu.

Yawezekana ni tabia yake tu. Hata kama angekuwa wa kike pengine ingekuwa hivyo. Kuanzia miaka 6 hadi 10 mtoto anajenga tabia yake na mtu wa karibu kwa umri huu ni mwalimu.
Kama mama ujitahidi kumfundisha unavyopenda awe. Jitahidi uwe mwalimu zaidi ya mama. Ni wakati pia mtoto hujifunza tabia za mazoea ya wazazi. Hapa anakuelewa vizuri. Pengine kama alivyosema hapendi ugomvi, labda anahisi akikwambia kama amekosea unaweza kuzua ugomvi.
Mrithishe msimamo ya nyumbani kwa wakati huu, maana akianza kuwa na marafiki na kuwaona wao ndio kila kitu (miaka 12-16) ni rahisi kupelekwa na upepo kama msingi sio imara.
Hapo tabia za udume bado zaidi kama mtundu atakuwa atakuwa msumbufu kipindi hiki cha kujifunza. Kuanza kuonesha uanaume bado ila anajitambua kuwa yeye ni wa kiume kwa hiyo anajifunza vitu vya kiume.
 
Sio mtukutu kabisa. Ila anajiona kakua.

Alipokuwa mdogo nilikuwa nam-hug hadharani.Kama miaka 2 iliyopita alianza kukataa kum hug in public.

Ananichenga, nikilalamika ananijibu, nitaku hug tukifika nyumbani.

Siku hizi hata tuwe home, ananitizama kwa uso wa 'are you serious?'. Nikilakamika sana ndo ananihug kwa mbaaaaaaaaali, afu sekunde tu.

sio damu ya kikurya hiyo kongosho???

aisee nina mtoto wa kaka yangu, alianza ukorofi akiwa darasa la tatu, baba yake alikuwa mkali kama simba!

basi dogo kuanzia umri wa miaka 12 alikuwa anatoroka home na kulala nje hata siku nne, kiburi kilimjaa kama nini!

yawezekana pia ni matatizo ya generation ndugu, wahi kumkalisha mwanao chini mapema asije akakuzidi nguvu..

punguza utata usije ukampoteza zaidi mtoto!
 
mtoto na mtu yeyote hatakiwi kuwa 'anataka peace' hata kwa kubeba lawama za wengine...
why iwe hivyo? what is the fear?...isije kuwa kuna kitu alarming....
mfunze kuwa its okay kama kutatokea 'confrontation' pia sometimes...

asi suppress his true feelings always ili tu 'kuwe na peace'....
some confrontations zinaweza leta a more healthy relationships pia...
au aki surpress sana zitakuja siku 'kulipuka' ....unless i am not reading this right..
 
embu acheni kucomplicate maleza ya watoto bhana, dogo mbona hana tatizo lolote, he is growing up to be his own mehn!!

mkiwalea hivyo baadae watashindwa kufanya maamuzi yao wenyewe, too dependent on mummy kwenye kila kitu!!


kwanza me nadhani ukitaka akwambie kila kitu ni sawa nakumfundisha awe mmbea
 
Pole sana Kongosho,

Tatizo lako unafikiria yeye kama ni sehemu yako. Jipe muda na naenda naye pole pole. Bado hajafikia umri wa kumkacha mama....Ukifika utauona moto wake!
 
Last edited by a moderator:
embu acheni kucomplicate maleza ya watoto bhana, dogo mbona hana tatizo lolote, he is growing up to be his own mehn!!

mkiwalea hivyo baadae watashindwa kufanya maamuzi yao wenyewe, too dependent on mummy kwenye kila kitu!!


kwanza me nadhani ukitaka akwambie kila kitu ni sawa nakumfundisha awe mmbea

exactly...!!
mwisho wa siku atakuwa mummie's boy!.
mwache akue na kuwa independent..
 

Haraka haraka nimegundua unataka kum micro manage mtoto whic is not okay..mwachiensomw freedom..najua wamama wengine hasa.mjini wanapenda kuonekana so close na watoto wao but hii itaamfanya awe mzembe baadaye asiwe independent...apo dogo anakuwa kiume sasa.
 
Last edited by a moderator:
Nakubaliana na wewe 100%
mtoto na mtu yeyote hatakiwi kuwa 'anataka peace' hata kwa kubeba lawama za wengine...
why iwe hivyo? what is the fear?...isije kuwa kuna kitu alarming....
mfunze kuwa its okay kama kutatokea 'confrontation' pia sometimes...

asi suppress his true feelings always ili tu 'kuwe na peace'....
some confrontations zinaweza leta a more healthy relationships pia...
au aki surpress sana zitakuja siku 'kulipuka' ....unless i am not reading this right..
 
Talk to him in a very friendly manner. Muambie wewe mwenyewe hujui kila kitu, na ni kweli hufanyi confrontation na kila mtu juu ya kila jambo. Lakini communication ni muhimu kwa sababu a small misunderstanding inaweza haribu mahusiano.

ni muhimu asikudanganye lakini pia mshauriane. Muonyeshe na wewe unamtegemea kukupa useful info say juu ya utendaji wa dada ama perception ya ndugu. Lakini pia kama dada hakumuumiza makusudi its ok aseme 'nimeumia huko jikoni', asijenge tabia ya kushtaki kila wakati. Lakini hakikisha haugombi, na ukiambiwa kuhusu dada hautareact immediately.
 
Jamani, siamini kama siku hii itafika
Sasa mimegundua kwa nini mama alikuwaga anatu-spy kimya kimya. Worries ni nyingi kwa kweli.

Siku akianza dating nitakufanyia kitchen party. I have a free spirit, kiasi kwamba hata nikiwa na watoto sidhani kama nitapata shida kuwaacha wawe wao.
 
Huo uhuru ni wa muhimu?

Haraka haraka nimegundua unataka kum micro manage mtoto whic is not okay..mwachiensomw freedom..najua wamama wengine hasa.mjini wanapenda kuonekana so close na watoto wao but hii itaamfanya awe mzembe baadaye asiwe independent...apo dogo anakuwa kiume sasa.
 
Pole shostie!
Nafkr anajarb kujitoa kweny circle yako!
Pengine umekuwa too directive mother ambayo kwa mujibu wa kamusi yangu ni sahihi!

Siku hizi wazazi tunanyang'anywa watoto mapema sana,aidha tunawaacha au wanatuacha au wanachukuliwa .wala sio swala la jinsia nina binti wa miaka 14 najikuta kweny hali hiyo hiyo.ila "nakomaa nae "
-najaribu sana kuwa shosti,kuwa na some silly maongezi anajikuta tu anachanganyia humo mpk session imeisha nishajua Yang
-simpi nafasi ile kiwazii kuwa anaweza kufanya maamuzi yake,nafanya ubabe kweny vitu kama kushika remote nikiwepo,kuwachagulia cha kuvaa tukitoka au tukienda kanisani,kumpa pesa za matumizi yake on daily basis or monthly(nimekuza tayari.lol) hii nafanya kumpa tu idea kuwa mama ndo chief manyota!
Malezi ya sasa hv so utani ni changamoto!
Na tukishangaa shangaa hawa watoto tunawapoteza asee .wako too liberal sasa na sisi tukiendelea kuwapa hiyo space like in "vitu vingine vinabaki vibaki hapa" au "I think you are not fair on this"enhenhenhenhe ni zaidi ya hatwaaar!
 
Huyo dume l a mbegu keshaanza kuonesha uanaume wake tangia utotoni...pole mama kwa kupoteza ukaribu na mwanao!mpe nafasi awe huru na wewe yaani ajilete/awe kimbilio lake kwako akiwa na tatizo.Na simaanishi usiwe concerned,you should be ila pale inapobidi tu, kwa umri alokuwa nao anajua kutofautisha zuri na baya kwahio ondoa shaka.When you try too hard ndivyo atakavyojaribu kukuepuka...kuna rika mtoto akifika anajiona ameshakua kwahio anapenda aachiwe afanye maamuzi mwenyewe!
Kumbe huyu mtu ni mama wa mtoto kabisa..lakini anavyocomment hapa jukwani..utadhani sijui..yaani utadhani bado mdogo sana..
 
Mmmmhhh, huwa unamkalisha na kuzungumza naye?

Sometimes naongea naye, sometimes nahisi nakompliketi mambo.

Napoteza uelekeo nahisi.Sijui nipunguze kuwa direktive?

Pole shostie!
Nafkr anajarb kujitoa kweny circle yako!
Pengine umekuwa too directive mother ambayo kwa mujibu wa kamusi yangu ni sahihi!

Siku hizi wazazi tunanyang'anywa watoto mapema sana,aidha tunawaacha au wanatuacha au wanachukuliwa .wala sio swala la jinsia nina binti wa miaka 14 najikuta kweny hali hiyo hiyo.ila nakomaa nae "
 
Back
Top Bottom