Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,335
- 23,951
Sio mtukutu kabisa. Ila anajiona kakua.
Alipokuwa mdogo nilikuwa nam-hug hadharani.Kama miaka 2 iliyopita alianza kukataa kum hug in public.
Ananichenga, nikilalamika ananijibu, nitaku hug tukifika nyumbani.
Siku hizi hata tuwe home, ananitizama kwa uso wa 'are you serious?'. Nikilakamika sana ndo ananihug kwa mbaaaaaaaaali, afu sekunde tu.
Hahaha i guess it's a phase...i think I remember this time too in my life where 'you want to do what's cool..what's normal to the world' after sometime lakini inaisha..muelewe tu kwa sasa.
Oh how I wish mama yangu angekuwa anaishi Posta kila nikija asubuhi nam-hug ndo naingia ofisini...if only we all knew back then!!!
Ila usiache kutaka kum-hug kila wakati...he may be going through growth change but don't go there with him!!!!