wananiudhi kweli hawa watu kuna mmoja huko analalamika shetani shetani kama ameitwa bwana
Ustaadh umenidissappoint na hilo jibu lako. Hata sie tuliokua tunataka kuurejea usilamu sasa tunazidi kubaki njiapanda..
Nawe ungeamka ukaanza kukata kiuno....
Dini my dickson....Wanataka kufanya majukwaa yote yawe ya dini, kule habari na hoja..dini, ukienda intelligence...dini, ukienda international...dini..
Huku watuwache watu wa mahaba mahabani tupunguze stress....mfyuuuuuuuu zao....!
Dini my dickson....
Wanataka kufanya majukwaa yote yawe ya dini, kule habari na hoja..dini, ukienda intelligence...dini, ukienda international...dini..
Huku watuwache watu wa mahaba mahabani tupunguze stress....mfyuuuuuuuu zao....!
Nawe ungeamka ukaanza kukata kiuno....
Halafu we mleta mada acha ushamba...
Kule India kama mwanamke hajui kucheza basi haolewi...na ile jioni jioni utakuta mwanaume karelax chumbani, mamsapu anamchezea misongi huku anashushia chai....!
Ahahahaa. Jamaa kaduwaa anaona maajabu
Halafu we mleta mada acha ushamba...
Kule India kama mwanamke hajui kucheza basi haolewi...na ile jioni jioni utakuta mwanaume karelax chumbani, mamsapu anamchezea misongi huku anashushia chai....!
A aha ha ha ,na humu tumo mkuu,tumetapakaa kama kirusi.Wanataka kufanya majukwaa yote yawe ya dini, kule habari na hoja..dini, ukienda intelligence...dini, ukienda international...dini..
Huku watuwache watu wa mahaba mahabani tupunguze stress....mfyuuuuuuuu zao....!
Maalim Abdulhalim Mkalia mafenesi Itafute elimu hata kama ipo China ,hapa ni kutafuta elimu ,watu watatoa nasaha zao,kufuata au kutozifuata ni uwamuzi wa muulizaji,sasa tatizo lipo wapi ? Na kuna msemo usemao ukifika kwenye watuu wanachongo ....!
umenikumbusha wakat flan nliishi nyumba moja ya kupanga wakat niko chuo,kuna ustadh mmoja alikuwa na mke wake bint wa kitanga,ikishafika mida ya saa tatu usiku baada ya mumewe kutoka msikitini bas utasikia vishindo vya mwanamke akimchezea mumewe..
A aha ha ha ,na humu tumo mkuu,tumetapakaa kama kirusi.