Mtwara Smart
JF-Expert Member
- Jun 6, 2019
- 668
- 1,510
Ajira 500 CO Hawajachukuliwa 3 Years Na Kwa Mwaka Wana Graduate Kama Laki 2.
Sawa mkuu, si nimesikia mwaka huu kuna ajira 40,000 natumai itatatua hili tatizo.Ajira 500 CO Hawajachukuliwa 3 Years Na Kwa Mwaka Wana Graduate Kama Laki 2.
Probability Ya Kupata Ni 1:400.
Mkuu Asikwambie Mtu Chunguza Uyajue
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuwaombee Mungu AiseeSawa mkuu, si nimesikia mwaka huu kuna ajira 40,000 natumai itatatua hili tatizo.
Sent using Jamii Forums mobile app