David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 3,789
- 9,354
Kuna jamaa yangu ni MD ana dîspensary anatafuta mtu wa maabara (diploma) ..kuhusu mshaara sijui ila si chini ya 400k , dispensary ipo mbande mbagala.
Nimeona nitoe connection kwa ndugu zangu wa jamii forum..
NB:Kama mtu anahitaji afanye haraka Nimuunganishe na jamaa yasipite zaidi ya masaa 24 maana zaidi ya muda huo jamaa anaweza kuwa ameshapata.
jamaa ana longolongo ni mtu poa sana ila kichwani akili ziwepo