Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,431
- 170,668
Ila jf....haya bro poaBado mtaji haujafikia kuajiri mtu usiyemjua
Ila jf....haya bro poaBado mtaji haujafikia kuajiri mtu usiyemjua
Akikataa na hapa basi nitamuona ni mbishiHuo n mtaji ambao upo chini ya uangalizi, hupaswi kuajiri mtu zaidi yako mhusika.
Nadhani hapo nimekujibu.
Na amebisha.Akikataa na hapa basi nitamuona ni mbishi
Tena kwa biashara kama ya uwakala kwa malipo hayo tena ndani ya jiji la Mzizima? Ni bonge moja la riskNa amebisha.
Tukubali tukatae, ukiwa na mtaji wa kupepesa, inabidi upambane nao ww mwnyw mpaka utakapokuwa mkubwa.
Sasa ukimuajiri mtu, tena usiyemjua, tena uliyempata mitandaoni hujui background yake n bonge moja la risk
Zetu dua kumuombea jamaa apate mtu sahihi.Tena kwa biashara kama ya uwakala kwa malipo hayo tena ndani ya jiji la Mzizima? Ni bonge moja la risk
Na mm ntamuongeza elfu 10 iwe laki kamiliWewe mleta tangazo,unaonaje uifanye hiyo kazi mimi najitolea kukulipa elfu tisini/tisaini/90,000/= za Tanzania?
Anasema tunamkatisha tamaa sijui mara ashawapata sijaelewa ,anyway kila la kheri kwake hakuna mwanzo mrahisi japo ukweli sikuzote hubaki kuwa mchunguZetu dua kumuombea jamaa apate mtu sahihi.
Hela zimeingia kwenye 18 zako.Mpaka ziitike!Hahahaha nizitibu hizo hela mshua wangu 😆
Imekubalika hiyo mkuu.Na mm ntamuongeza elfu 10 iwe laki kamili
Fanya hivyo sasa 😂Hela zimeingia kwenye 18 zako.Mpaka ziitike!
mmeamua kujitutumua baada ya kushambuliwaAhsante kaka for positive comment nilipost kupata watu wenye uthubutu wa kujaribu nimepata vijana watatu ambao walikuwa tayari kupokea hiko kidogo maana biashara ndo changa ila kulingana na uthubutu wao tumewaoffer 150k + allowances ya 50k
Tunapaswa kujifunza