Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,952
- 168,812
Watu wa jf dharau asilimia elf moja
Humu sio pa kutafuta kitu, humu piga tu zogo mkuu
Humu sio pa kutafuta kitu, humu piga tu zogo mkuu
It's not about uthubutu, n ww mwnyw ulikuwa unakwenda kurisk biashara yako.Ahsante kaka for positive comment nilipost kupata watu wenye uthubutu wa kujaribu nimepata vijana watatu ambao walikuwa tayari kupokea hiko kidogo maana biashara ndo changa ila kulingana na uthubutu wao tumewaoffer 150k + allowances ya 50k
Tunapaswa kujifunza
sawa.. siku ukiibiwa ulete mrejesho mkuu wangu......Natafuta Mtu wa kazi ya ofisi ya uwakala wa tgo, halopesa, airtel money na kusimamia spea za pikipiki. Mshahara ni sh 80,000/= awe na uzoefu wa kufanya kaz na mwepes kuelewa kwa muda mfupi na mwenye nidhamu. Umri usiwe zaidi ya 24. Eneo la biashara ni Dar es salaam Kunduchi
Elimu angalau form four. Aliye tayar anichek kwa email wilsonbernard255@gmail.com
Nadhani ishu sio dharau, mtu unapaswa kumlipa mtu kutokana na risk ambayo unaiona kwa mwajiriwa wako.Watu wa jf dharau asilimia elf moja
Humu sio pa kutafuta kitu, humu piga tu zogo mkuu
Hiyo biashara unajua ana mtaji kiasi gani? Unajua ina mzunguko kiasi gani na ipo wapi? Unajua kama ni mpya au ya zamani?Nadhani ishu sio dharau, mtu unapaswa kumlipa mtu kutokana na risk ambayo unaiona kwa mwajiriwa wako.
Mfano huyo mtu akikimbia na 30M za jamaa, huyu mtoa mada atafanya nini?
Unadhani mwajiriwa atakuwa na la kupoteza akisepa na hizo pesa?
Mfano mm ndo mwajiriwa hapo, nasepa na hiyo 1m, unadhani nitakuwa na la kupoteza?Hiyo biashara unajua ana mtaji kiasi gani? Unajua ina mzunguko kiasi gani na ipo wapi? Unajua kama ni mpya au ya zamani?
Mfano mtu anazungusha milion 1 tu, kamisheni anapata labda 150,000 kwa mwezi, hapo anatakiwa alipe mshahara, kodi, leseni na takataka unazozijua zote.
Huyo mfanyakazi alipwe laki ngapi sasa according to mawazo ya ki jf?
Mkuu,kama kuna mtu analeta dhihaka anasema sh 80,000 ni ndogo kuna mwingine hiyo hela anaitamani pengine anapata ndogo zaidi ya hiyo au hana kibarua chochoteAhsante kaka for positive comment nilipost kupata watu wenye uthubutu wa kujaribu nimepata vijana watatu ambao walikuwa tayari kupokea hiko kidogo maana biashara ndo changa ila kulingana na uthubutu wao tumewaoffer 150k + allowances ya 50k
Tunapaswa kujifunza
Haujanijibu nmekuuliza kwa mtaji huo na kamisheni hiyo, huyo mfanyakazi anatakiwa alipwe laki ngapi???Mfano mm ndo mwajiriwa hapo, nasepa na hiyo 1m, unadhani nitakuwa na la kupoteza?
Then unajua hali ntakayomuacha nayo mwajiri?
Moise jiograf naomba kazi babanguuuuHiyo 2600 ukiamka asubuhi saa 12 hadi saa 2 umeshaipsta.
-kuhamisha matofali ya saruji 150×200=kwisha kazi.
-kulangua mboga za majani za elfu 10, asubuhi saa 12 hadi saa 2 umeingiza faida elfu 4.
-kusafisha viatu(shining)SAA 12 asubuhi hadi saa 2 asubuhi unaingiza elfu 5.
Huo n mtaji ambao upo chini ya uangalizi, hupaswi kuajiri mtu zaidi yako mhusika.Haujanijibu nmekuuliza kwa mtaji huo na kamisheni hiyo, huyo mfanyakazi anatakiwa alipwe laki ngapi???
Kama ni muajiriwa? Kaamua zake afanye side hustle apunguze njaa???Huo n mtaji ambao upo chini ya uangalizi, hupaswi kuajiri mtu zaidi yako mhusika.
Nadhani hapo nimekujibu.
Sasa wewe lidaktari la mahela unataka upate uyafanyie nini atiii!?Moise jiograf naomba kazi babanguuuu
Halafu ukiibiwa ulalamike?😂😂🙌 kweli kazi na utuNatafuta Mtu wa kazi ya ofisi ya uwakala wa tgo, halopesa, airtel money na kusimamia spea za pikipiki. Mshahara ni sh 80,000/= awe na uzoefu wa kufanya kaz na mwepes kuelewa kwa muda mfupi na mwenye nidhamu. Umri usiwe zaidi ya 24. Eneo la biashara ni Dar es salaam Kunduchi
Elimu angalau form four. Aliye tayar anichek kwa email wilsonbernard255@gmail.com
Bado mtaji haujafikia kuajiri mtu usiyemjuaKama ni muajiriwa? Kaamua zake afanye side hustle apunguze njaa???
Hahahaha nizitibu hizo hela mshua wangu 😆Sasa wewe lidaktari la mahela unataka upate uyafanyie nini atiii!?