Sorry for late reply mkuu:Nipatie bei ya betri 125 *4 na panel 4 za 250w(mono)
Kama unazo nitajie na majina ya ilotengeneza au kabila.
Nitatoa oda nyengine baada ya kujua bei.
Tumeagiza container la vifaa vya Solar toka Ujerumani.Sasa hivi container lipo majini ,melini litaingia baada ya wiki mbili.Anahitajika haraka mnunuzi wa jumla.Tafadhali anahitaji aje in box nimpatie list ya hivyo vifaa na bei zake.
Sawa list of products ipo .Nitaweka mkuu kwa ushauri wako.Bei zipo kwenye USD ngoja ni kokotoe kwenye TZS halafu nitaweka.mkuu, fafanua hapo kwenye mteja wa jumla.
ni yule atakaenunua kuanzia pcs ngapi?
ungeweka list ya prouct ingekua poa sana.
Sorry for late reply mkuu:
Manufacturer: power On,Assembled In South Korea,Made In Germany
Solar Panel 250(mono) Price:330,000/- TZS
Ukinunua 20PCs za item moja tuna assume ni jumla.Lakini pia tunaweza kujadiliana kutegemeana na kiasi cha pesa utakachotumia kununua items hata km mbalimbali.mkuu, fafanua hapo kwenye mteja wa jumla.
ni yule atakaenunua kuanzia pcs ngapi?
ungeweka list ya prouct ingekua poa sana.
Mkuu sorry,kwani wakati mnaagiza huo mzigo hamkujua soko lake ni wapi?Tumeagiza container la vifaa vya Solar toka Ujerumani.Sasa hivi container lipo majini ,melini litaingia baada ya wiki mbili.Anahitajika haraka mnunuzi wa jumla.Tafadhali anahitaji aje in box nimpatie list ya hivyo vifaa na bei zake.