Anahitajika mnunuzi wa jumla wa vifaa vya Solar toka Ujerumani

Jackal

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
9,572
12,710
Tumeagiza container la vifaa vya Solar toka Ujerumani.Sasa hivi container lipo majini ,melini litaingia baada ya wiki mbili.Anahitajika haraka mnunuzi wa jumla.Tafadhali anahitaji aje in box nimpatie list ya hivyo vifaa na bei zake.
 
Nipatie bei ya betri 125 *4 na panel 4 za 250w(mono)

Kama unazo nitajie na majina ya ilotengeneza au kabila.

Nitatoa oda nyengine baada ya kujua bei.
 
Samahani mimi si mnunuzi wa jumla ila nitahitaji set ya 10 kW kwa baadae kidogo.
 
Nipatie bei ya betri 125 *4 na panel 4 za 250w(mono)

Kama unazo nitajie na majina ya ilotengeneza au kabila.

Nitatoa oda nyengine baada ya kujua bei.
Sorry for late reply mkuu:
Manufacturer: power On,Assembled In South Korea,Made In Germany
Solar Panel 250(mono) Price:330,000/- TZS
 
Tumeagiza container la vifaa vya Solar toka Ujerumani.Sasa hivi container lipo majini ,melini litaingia baada ya wiki mbili.Anahitajika haraka mnunuzi wa jumla.Tafadhali anahitaji aje in box nimpatie list ya hivyo vifaa na bei zake.

mkuu, fafanua hapo kwenye mteja wa jumla.
ni yule atakaenunua kuanzia pcs ngapi?
ungeweka list ya prouct ingekua poa sana.
 
Sawa list of products ipo .Nitaweka mkuu kwa ushauri wako.Bei zipo kwenye USD ngoja ni kokotoe kwenye TZS halafu nitaweka.
 
mkuu, fafanua hapo kwenye mteja wa jumla.
ni yule atakaenunua kuanzia pcs ngapi?
ungeweka list ya prouct ingekua poa sana.
Ukinunua 20PCs za item moja tuna assume ni jumla.Lakini pia tunaweza kujadiliana kutegemeana na kiasi cha pesa utakachotumia kununua items hata km mbalimbali.
 
Tumeagiza container la vifaa vya Solar toka Ujerumani.Sasa hivi container lipo majini ,melini litaingia baada ya wiki mbili.Anahitajika haraka mnunuzi wa jumla.Tafadhali anahitaji aje in box nimpatie list ya hivyo vifaa na bei zake.
Mkuu sorry,kwani wakati mnaagiza huo mzigo hamkujua soko lake ni wapi?
 
Back
Top Bottom