Anahitaji Mzee wa Makamo (Mwanaume) kwa ajili ya Kukaa Shambani

Mkuu rejea post yangu, si kwamba atakuwa anafanya kazi za shamba, la hasha; ila atakuwa mwangalizi na aweze kufanya shughuli ndogondogo kama kulisha kuku na mbuzi.
sawa shamba sio mazao tu hata mifugo. iyo kazi inahitaji awe active 24/7 sasa kwa umri huo hata machine apo inaelekea kuisha muda wake wa matumizi. labda kama atakuwa msimamizi kuna watu chini wanafanya izo kazi.
 
Ndiyo Mkuu, kutakuwa na watu chini yake. Thanks
 
Aisee... Watangulizi wetu wanatuharibia career wengine. Vijana hatuaminiki tena kwa sababu ya Vijana wachache. It's so painful.
 
Aisee... Watangulizi wetu wanatuharibia career wengine. Vijana hatuaminiki tena kwa sababu ya Vijana wachache. It's so painful.
Vijana mnasumbua sana, heri mtu mzima kashamaliza ujana ana-focus kesho yake tu. Pole lakini!
 
Nitamzika kama hana ndugu, na ndio maana nikahitaji mtu asiye na makazi/ndugu pamoja na barua kutoka katika ofisi ya mtendaji wa kata/kijiji atokacho.
Kwahyo unatafuta mzee ambaye hata akipotea hakuna atakayemtafuta sio?
 
Back
Top Bottom