Wakuu Natumaini Mu-wazima.
Kama Kichwa cha habari hapo juu kinavyoeleza, nahitaji mzee wa makamo (ningependa kumpata wale wasio na makazi (ambao wanaishi kwenye vituo vya kulea wazee)).
Sifa;
-Awe Mwaminifu
-Asiwe mlevi
-Ajue kusoma na kuandika.
-Awe anajua mambo ya kilimo.
-Aweze kuhudumia mifugo (kuku & Mbuzi).
-Aweze kusimamia wafanyakazi shambani.
-Awe na afya njema.
-Awe mtu mwenye kujituma mwenyewe, asiwe wakusubiri aambiwe afanye nini.
Huduma nitakazompatia;
-Nitawajibika akiumwa.
-Chakula, malazi na matumizi yote yatakuwa juu yangu.
-Atapata hela za matumizi yake binafsi (kila mwezi).
-Nitamkatia tiketi (basi) ya kuja, pamoja na chakula njiani.
Utambulisho;
-Aje na barua ya utambulisho kutoka ofisi ya mtendaji wa kata/kijiji (iwe na muhuri na namba za simu za kiongozi husika).
Kituo cha kazi;
Arusha (Arumeru - Mashariki)
Ni PM kama unamjua mtu mwenye sifa tajwa hapo juu.