Mboka man
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 478
- 1,651
Kwa wale vijana ambao mmemaliza chuo lakini bado hawajapata issue ila wanatafuta nafasi kujishikiza kuliko kukaa nyumbani wanicheki.
Kuhusu malipo hakuna mshahara ila pesa ya kujikimu MIPANGO midogo midogo kama program za jumamosi,REMIDIAL CLASSES NA posho ndogo ndogo za hapa na pale zipo ambapo kwa mwezi ukijumlisha vyote huwezi kukosa laki tatu hadi nne
Kuhusu sifa unatakiwa uwe umesoma ualimu uliojikita kwenye BK NA COMMERCE.
Kuhusu shule ipo dar