Una kiwango gani cha elimu na unatarajia kusoma nn tuanzie hapo kwanza
Mmh yani wewe sijui wa wapi na aliyelike sijui wa wapi sasa niandike ivyo kwani mimi nimetumia kingereza.It's counseling man,not canseling[emoji4]
Very StupidMmh yani wewe sijui wa wapi na aliyelike sijui wa wapi sasa niandike ivyo kwani mimi nimetumia kingereza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa mpole kubali kuelekezwa, kwa hali hiyo utapata wakati mgumu sana darasaniMmh yani wewe sijui wa wapi na aliyelike sijui wa wapi sasa niandike ivyo kwani mimi nimetumia kingereza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu ni expert member nilijua ni new member .Very Stupid
Kaamua kujiita jina la dawa. Labda ana sababu za kujiita hvyo[emoji23][emoji23][emoji23]