Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,707
- 1,729
Ahg Evelyn usipende kuamini mambo ya KUAMBIWA. Acha analojia hamia digitali.he he he sina wivu mie!!!!!!
jamaa wanachoma sio siri.....
Ahg Evelyn usipende kuamini mambo ya KUAMBIWA. Acha analojia hamia digitali.he he he sina wivu mie!!!!!!
jamaa wanachoma sio siri.....
mi siwajui wa huku ila mama yangu aliniachia wosia nitafute mnyamwezi hebu nitajie wa humu jamvini nianze kuwafukuzia dearSmile Mdogo wangu, reference yake ni wababa wa Kiswahili wanywa gahawa na sio kaka zangu wa Sikonge, Nzega, Ndala, Urambo ni full kujituma; muda wa majungu wautoe wapi?
Unawaonaje wachache waliomo humu jamvini?
hebu mwaga sifa zao zingine yaelekea na wewe unawafahamunakuunga mikono na miguu aisee!!!
Ahg Evelyn usipende kuamini mambo ya KUAMBIWA. Acha analojia hamia digitali.
Hawatulii na mwanamume mmoja ni wanawake wa mafiga matatu, kwa limbwata ndo wenyewe na pia kama limbwata halikamatiki kwako basi wanakudedisha.Lakini tofauti na hayo Wanyamwezi ni miongoni mwa makabila yanayojua mapenzi hapa Tanzania, mimi nashangaa watu wanasifia eti Tanga kwangu mimi mwanamke wa Kinyamwezi ni nambari one kwa mapenzi sema sasa issue ni hayo matatizo yake ya hapo juu maana mwanamume hakohoi kwa mke wa Kinyamwezi
Kabla ya yote,nisisitize 'KILA MTU NA TABIA YAKE''
Hawa watu nimeishi nao sana,tena uzuri vijijini kule waliko wale pure.
Hawa watu ni wakarimu sana,kwa nje. Wanajua kukusalimia unaweza toa pin za bank jus how they speak.
Wanapenda mikorogo,wanaamini weupe dili.
Wabinafsi,ukioa usipokuwa na akili ujue kwenu hata chumvi hutumi,na ukioa usikae kwao hama mkoa.
WANAPENDA SANA,SAANA USHIRIKINA, yaani hata asipokufanyia wewe hata nduguze watakuweka sawa for yeye maana wanapendana ndugu sana,na kukupuliza ni sekunde esp wakiona hueleweki..! Yaani wao kitu kidogo lazima wamulike x-ray inasemaje kwa babu!!!
Nahii ndo sababu kwao kule vichaa ni wengi mno na wanaongezeka daily!!!maana ukiiba cha mtu,unalo!! Na hii inawafanya
Wanapenda,ila multi kwa sana..lazima figa 3!!
Wanaume wa Kinyamwezi wengi ni watu wa majungu majungu tu iwe makazini na hata majumbani ni majungu,fitina na zaidi wamejaa uswahili hasa Wanyamwezi walioko mijini. Zaidi wanaume wa Kinyamwezi wanasifika kwa kuwa wapole kwa wake zao lakini wanapokuwa nje ya nyumbani nao ni mafirauni tu.Lakini sifa kubwa ya mwanaume wa Kinyamwezi ni majungu, majungu,majungu,fitina na zaidi wamejaa uswahili mwingi na hawajiamini amini hata kama uwape post kubwa hawajiamini inabidi wakapige ramri
Nimewapiga sana watoto wa kinyamwezi enzi nasoma pale Mirambo High School , kule tena wale wa bachu kule na kanyenye na ivi kuna mashombe shombe kutoka Itobo nimewachapa nao hadi nimeacha katoto kamoja kule, sasa ivi kapo chekechea. Kwa utamu ni watamu
mi siwajui wa huku ila mama yangu aliniachia wosia nitafute mnyamwezi hebu nitajie wa humu jamvini nianze kuwafukuzia dear
nina mahusiano na mwanamke wa kinyamwezi
ninaomba mwenye uelewa anipe tabia zao wakoje kabla sijaingia kwenye kitanzi cha ndoa
mi siwajui wa huku ila mama yangu aliniachia wosia nitafute mnyamwezi hebu nitajie wa humu jamvini nianze kuwafukuzia dear
We we we we! Shika adabu yako, yaani kuwe na mtu atakae TUJUA wanyamwezi wote?!!!?? Au hujui maana ya kujua? King'asti, nafahamu wewe ni Mlutheri. Hebu njoo nifundishie huyu mtu. Halafu anapanga kuwa shemeji yangu!
Kwa mambo ya limbwata hwajambo na ni watu wa kutoka na wengi ..wanapenda shughuli au vitafrija kwa sanaaa...kifupi wana mshahabiano na wazaramo kwa mbali.........
Hahaha
Huyo ndio kaka yangu miye, wengine wote ni JPEG imagies! LOL
Nami dada yako nimeubeba chini ya mgongo, na miguu ya kubebea ipo!
Hahaha
Huyo ndio kaka yangu miye, wengine wote ni JPEG imagies! LOL
Nami dada yako nimeubeba chini ya mgongo, na miguu ya kubebea ipo!
Hapo kwenye RED, daahhh umeniacha hoi. Nafikiri jamaa ataona sababu ya kuowa kwa Wanyamwezi maana Wacheshi na Wachangamfu sana. Ukiwa na Wanyamwezi hakuna kununa.
Ilumbuye Kaunga wape vidonge vyao...............wakaka tunamizigo ya mbele.............wadada wameibeba chini ya mgongo sasa wachague wenyewe..............kuna msemo unasema ....mzigo mzito mpe mnyamwezi